Henge
JF-Expert Member
- May 14, 2009
- 6,933
- 1,510
inakuusu nini wewe si ukamwambie Makamba na shangazi Seifu hamaDHawa jamaa hawana jipya, kinachotakiwa sasa ni kufanya usajili wa maana kwa ajili ya mechi ya 2015. Badala yake pesa za rukuku badala ya kuimarisha chama vijijini wao wanalipana posho za maandamano. Kwa taarifa yako posho ya siku ya maandamano ni Tshs 350,000/= , sasa huku si kuwanyonya wananchi na matumizi mabaya ya rasilimali