Chadema,Cuf,Nccr,Tlp na Udp

Chuck j

JF-Expert Member
Jun 17, 2011
2,358
814
Ushuru wa magari ni mkubwa sana,
Simamieni sana hilo,,mfano umenunua gari on line japan kwa usd 2500 ambayo ni tsh 4000000,tra wanakukadiria ushuru unakua sawa nna bei ya kununulia kama m4 jumla ni m8 hapo bado usafiri na mambo mengine,,
(2)Bei ya cement ni kubwa sana
(3)Umiliki wa ardhi
(4)Bei ya gesi ya kupikia iko juu sana,,tunashindwa kumudu ,badala yakke tunatumia mkaa,,,misitu inaisha
(5)Bei ya mchele,sukari,unga wa ngano na mafuta ya taa,,
Mkifanya hayo mtatukuna na mtakuwa mmewasaidia watanzania,
 
Ushuru wa gari sawa wameongeza kwenye magari makuku zaidi ukitaka kodi ndogo nunua gari mpya au ya mwaka 2oo5-2o12. na magari haya ukinunua umejikomboa kuliko ukanunua gari kukuu sana. hayo mengine sawa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom