Chadema, CUF, NCCR na TLP Kuhutubia Mikutano kwa Pamoja Nchi Nzima

ibange

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
1,545
550
Nimefurahishwa nilipodokezwa na rafiki yangu wa Chadema kuwa kuna mazungumzo yanaendelea ili vyama vyote nilivyotaja vizunguke nchi nzima kuhutubia mikutano ya hadhara kuhusu operation "uwajibikaji".

Watakuwa wanawaeleza watanzania jinsi nchi inavyoliwa na watatafuta mamilioni ya sahihi za wananchi za kutaka JK aachie ngazi kwa kushindwa kuwawajibisha mafisadi.

Ikifanikiwa hii itakuwa na athari kubwa kwa CCM na ndio mwanzo wa vyama hivi kushirikiana kuwaondoa CCM 2015
 
Imekaa vema ila nilikuwa na wasiwasi kama mzee wa kiraracha atakubali!! pamoja na kwamba leo Bungeni amejikakamua sana...

Kila la kheri
 
Nimefurahishwa nilipodokezwa na rafiki yangu wa Chadema kuwa kuna mazungumzo yanaendelea ili vyama vyote nilivyotaja vizunguke nchi nzima kuhutubia mikutano ya hadhara kuhusu operation "uwajibikaji". Watakuwa wanawaeleza watanzania jinsi nchi inavyoliwa na watatafuta mamilioni ya sahihi za wananchi za kutaka JK aachie ngazi kwa kushindwa kuwawajibisha mafisadi. Ikifanikiwa hii itakuwa na athari kubwa kwa CCM na ndio mwanzo wa vyama hivi kushirikiana kuwaondoa CCM 2015

Siungi mkono...ushurikiano wa nyama nyenye dira tofauti ni usanii na moja y ambinu kuua upinzani
 
Imekaa vema ila nilikuwa na wasiwasi kama mzee wa kiraracha atakubali!! pamoja na kwamba leo Bungeni amejikakamua sana...

Kila la kheri



Bukanga, wewe ni wa moshi nini?? cause ilo jina huku moshi ndotunavyo muitaga. au jina lingine shamukwale.
 
Umoja ni nguvu, naunga mkono hoja kwa maana kwamba kuwe na umoja katika nia na malengo ya kushirikiana kuingoa ccm madarakani. Lakini nisicho unga mkono ni Muungano wa vyama. Tanzania bado hatujawa na uwezo wa kuhimili muungano wa vyama.
.
 
Hii ninaipinga.CDM kuweni makini sana.Watanzania wameshawaamini nyie acheni kushirikiana na matawi ya magamba.Hivi mtashirikiana na CUF halafu iweje?? Inaingia akilini kweli??
 
ha ha ha kumbe wamesanuka sasa kwamba chadema wanapata wafuasi cause sio wanafkii ccm kazi kwenu na ujuha wenu
 
Kwa hili nakubaliana kabisaaa,Kikwete ana dharau sana wananchi wake,jeuri hii kaitoa wapi? Hivi yeye ni jeuri kupita akina MuamarGadaf?akina Sadam Hussein,na Mobutu Sseseko?leo hii wako wapi? Familia zao leo si wanaishi uhamishoni? Na wengine si hawapo duniani? Aangalie sana hii dunia haina mwenyewe,kila mmoja ana haki sawa na mwenzie!!
 
Hii ninaipinga.CDM kuweni makini sana.Watanzania wameshawaamini nyie acheni kushirikiana na matawi ya magamba.Hivi mtashirikiana na CUF halafu iweje?? Inaingia akilini kweli??

CHADEMA acheni alliance za kijinga, kwani nyie pekee yenu mnaweza kusimama na kuitikisa nchi kwani mkifanya kuungana na hao CUF na TLP huo utakuwa ni usanii mkubwa sna kwani memsahau jinsi CUF ilivyo ni upande wa CCM? Kumbukeni igunga CUF iliwafanya nini? Pia kumbukeni sababu za kutokushirikiana ktk kambi ya upinzani bungeni na hivi vyama mapandakizi, hebu acheni mambo hayo bwana
.. Mungu wa isarael aepushie mbali muungano huo kama jinsi alivyoepusha kifo cha yusuph mbele ya ndungu zake.
Kwa jina la YESU. Amen
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom