CHADEMA + CUF: Maandamano ya kitaifa

kuna askari wa kikosi cha kutuliza ghasia hapa ofisi za cuf temeke wakiwa na magari yao ya maji yenye kuwasha na watu ni wengi sana! Aliye na taarifa kamili atuhabarishe ni nini kinaendelea.
 
kuna askari wa kikosi cha kutuliza ghasia hapa ofisi za cuf temeke wakiwa na magari yao ya maji yenye kuwasha na watu ni wengi sana! Aliye na taarifa kamili atuhabarishe ni nini kinaendelea.

Si Polisi walisema hawana askari wa kutosha kuhakikisha usalama kwwenye maadamano ya CUF kwa kuwa kuna ugeni wa kitaifa na polisi wengi watakuwa huko? Sasa hao wametoka wapi?

Tiba
 
umesahau kazi ya vyama vya upinzani kuwa ni kuiwajibisha, kuikumbusha, kuisimamia, kuikosoa nakutoa mapendekezo kwa chama tawala? ukiwa mtawala utweza kuona kweli wizi unaofanyika na wanachama wako/viongozi bila kushtuliwa na mwenzako asiye kwenye system ya uongozi? swala la mfumuko wa bei, kupanda kwa gharam za maisha, ufisadi na uajibikaji mbovu wa viongozi haviwezi kuonwa kwa ufasha au kushughulikiwa ipasavyo bila kuwapo jirani wa kukuonyesha au kukumbusha!!! Na hivyo nilviyosema ndivyio vinavyotakiwa kufanyiwa kazi na chama chochote kinachojiita 'chama cha upinzani'
wasipokumbushwa watatula, tutaliwa, tataachwa mifupa mitupu ilhali wao haoooooooooooooooo, wakijineemesha!!
NAWASILISHA HOJA...............Asanteni!!!!!!!
MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
Chadema yasemekana imekosa sababu ya kufanya maandamano dsm. Wakati mambo ya kutetea watanzania dsm yapo mengi.yapuuza imani yake katika maandamano ya dsm.kiongoz mmoja wa cdm akesha ofc za igp kumwambia 'ukiruhusu cuf waandamane na cc tutaandamana fanyeni lolote muwezalo kuhakikisha cuf awaandamani,'igp hamshangaa amwambia aliekutuma siku zake zina hesabika.

Wewe mtoto mjinga sana, kwa nini usifananishe na CCM? Halafu unapost upupu mtupu! Kweli wewe kichwa maji kabisa.
"kiongoz mmoja wa cdm akesha ofc za igp kumwambia 'ukiruhusu cuf waandamane na cc tutaandamana fanyeni lolote muwezalo kuhakikisha cuf awaandamani...." hakuna kiongozi wa CDM anaweza kufanya hayo madai yako ya uzushi.
 
Nilikuwa napita na gari mkuu, na nilivyo waona ndo nikaongeza na spidi maana hawachelewi kukutafutia makosa hivyo nikashindwa kudadisi kwa kina kinachoendelea
sasa wewe unakimbia f.f.u afu unatafuta taarifa,hao unaowauliza kwani si watu walioumbw kwa damu na nyama kama wewe?. .ebu acha kujipaint rangi ya magamba,mpiganaji ambae yuko afiliated na wanajamvi angepaki akaafatilie apost taarifa na picha kbs..haya rudi upesi!
 
Chadema yasemekana imekosa sababu ya kufanya maandamano dsm. Wakati mambo ya kutetea watanzania dsm yapo mengi.yapuuza imani yake katika maandamano ya dsm.kiongoz mmoja wa cdm akesha ofc za igp kumwambia 'ukiruhusu cuf waandamane na cc tutaandamana fanyeni lolote muwezalo kuhakikisha cuf awaandamani,'igp hamshangaa amwambia aliekutuma siku zake zina hesabika.
ww pumbafu ondoa upepo huku huna hata muda jf unaanza umbea Ji
 
sasa wewe unakimbia f.f.u afu unatafuta taarifa,hao unaowauliza kwani si watu walioumbw kwa damu na nyama kama wewe?. .ebu acha kujipaint rangi ya magamba,mpiganaji ambae yuko afiliated na wanajamvi angepaki akaafatilie apost taarifa na picha kbs..haya rudi upesi!
kwani yeye mwandishi wa habari? na kama alikuwa ana ishu zake nyingine aziache?
 
Nimekutana na gari la matangazo la Cuf maeneo ya Manzese na Magomeni wakitangaza uwepo wa maandamano hapo kesho,tena wanasisitiza msiogope.
 
Habari za jioni ndugu zangu wana jf tumesikia mbiu ya ndugu zetu wana cuf inayo tutaka watanzania wote wenye mapenz mema na tanzania yetu, nachowaomba ni kuweka itikadi za vyama pembeni na kuwaunga mkono ndugu zetu cuf kwan leo ameuliwa mwana chama wa cuf lakin ana ndugu zake ambao wapo cuf, cdm, ccm na nk je msiba ule aujatugusa wote hivyo shime ndugu zangu tujitokeze kwa wingi ili mafisadi na dola yake inayoitumia kisiasa wajue kuwa wametuchosha tusiogope mabomu, maji, wala virungu vyao tufanye jiad ndugu zangu kama wewe ni mkristu kama mimi nenda ibada ya kwanza kabisa, kukaa kimya kwa jambo ili ni kuunga mkono mauaji na maonevu haya ya jeshi la polisi, nakutakia jion njema.
 
Hi QUALIY!
Can you edit your post please. Mbona umerudia rudia hoja. Make it resemble with your id name
 
Nilikuwa napita na gari mkuu, na nilivyo waona ndo nikaongeza na spidi maana hawachelewi kukutafutia makosa hivyo nikashindwa kudadisi kwa kina kinachoendelea
Ha ha haaa! Mkuu we wa wapi?! Yaani full uoga kwa kuona tu ffu? Ha ha haa yaani kama vile nakuona!!!
 
Nadhani wanajipanga kuwadhibiti wana cuf kuhusu maandamano yao. Police ya sasa haina tofauti na zile jumuia za ccm! They are operating kwa order from ccm!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom