Chadema /CUF kuweni makini na hawa wazamiaji wa ccm mtakuja kujuta

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,947
22,101
Kumekuwa na lindi la wakimbizi wa kisiasa kuhamia vyama vya upinzani hasa pale wanaposhindwa kura za maoni na kwa haya nimeona niwabarishe ndugu zangu wa cuf na chadema msikimbilie ovyo kuwachagua jiulizeni wametokea wapi wanataka nini na kwa nini wahamie muda huu..tumeona wengi wakiachwa wanakuja kuomba kugombea upinzani post zile zile noo noo noo nasema tusiwe dampo la wakimbizi..tuwapokee tuwakaribishe lakini mapema sana kuingia jikoni waanze kujipakulia....mi nahisi kuwe nha msimamo imara juu ya haya
upinzani oyeeeeeeeeeeeee
 
Mini Poll ResultsWill Dr Slaa win the presidential race?Yes 240 votes. (75.71 %)
bar.jpg
Maybe 23 votes. (7.26 %)
bar.jpg
No 54 votes. (17.03 %)
bar.jpg
Total votes: 317

Powered by: SimPoll v.1.0
 
Ila muwakumbushe wawapigie na wabunge wa chadema jamani mwenye shuguli zitakuwa nzito
 
Katiba ya CUF hairuhusu mtu kugombea nafasi yeyote ile ,ila iwe imepita kama miezi sita baada ya kujiunga kwako ,natumai sijakoseaa ,sijui upande wa Chadema kama mtu anayo ruhusa mara tu baada ya kujiunga hata kama hajatimiza siku ,WaChadema wapo hapa.
 
Back
Top Bottom