Chadema chuo kikuu ardhi lawamani ...

May 19, 2011
62
5
Rais mstaafu wa wanafunzi chuo cha ardhi (ARUSO) BW.Tegemeo,waziri mkuu wake Bw. BEga na Spika BW. Jikola wote wakiwa wanachama WA CHADEMA,wamekula njama wameiba pesa za Wanafunzi milioni 12.Dhamana waliyopewa wameshindwa kuitumia ipasavyo kiasi cha kusababisha wafuasi wa CHADEMA kuunga na CCM na kumpitisha Bw Mvungi kuwa rais mpya wa chuo kikuu ardhi na JUMA MKAMBA kama makamu (wote wanachama waCCM) sababu hawajaona Umuhimu wa kupigania kitu ambacho ni tabia ya mtu na siyo chama.WAmeamua kuchagua kiongozi BORA siyo CHAMA...Pongezi kwa wasomi kwa maamuzi BORA,...Tuzidi kuwapima na wengine ili tuchague wale walio bora tuu.
 
Walikuwa wanachama wa CDM! Au walikula fedha kama viongozi wa wanafunzi na wakaamua kujitambulisha kama wanachama wa CDM ili wasamehewe na kwamba kufanya hivyo itakuwa tija kwa CCM?
 
We nawe msomi wa Chuo Kikuu unaandika utumbo kama huu.Jibu haya maswali:
1.Tuambie ni lini hicho chuo cha Ardhi kimegeuka kuwa Jumuya ya Chadema?
2.Je Manifesto ya hao viongozi walipokuwa wanagombea waliahidi kuwafanyia nini?
3.Nyie kama wanachuo Mtapata faida gani kutokana Uanachama wa kiongozi kutoka Chama fulani?
 
WAKATI wanagombea walisema wao ni cdm tuliwaamini tukawapa kura,sasa kwakuiba pesa za wanafunzi kwanini tuwatenge,na ndomaana mwaka huu tarimo vicent aliposema yy anagombea urais na nimwana cdm tukampiga chini fasta wana cdm wasikuhz waroooo wanaingia cdm ili wale tuu
 
Kama chuo kikuu mmefikia hatua ya mtu kujitambulisha tu ni wa Chama fulani na kumchagua kwa kigezo hicho basi wenye tatizo siyo hao mliowachagua bali ni ninyi wenyewe mliowachagua. Mtathibitishaje kama kweli hao waliotambulisha kama wanachama kwamba kweli ni wanachama wa CDM?

Mmefanyiwa utapeli. Ninyi kama wasomi mlikuwa wajinga kwenda kwa mtindo wa namna hiyo na hakuna sababu ya kujitambulisha kama wanafunzi wa chuo kikuu bali wanafunzi wa choo kikuu.
 
Wewe nilimbukeni kweli nawasiwasi na uwezo wako wa akili,hivi TENDWA kahamia hapo chuo na mmefanyiwa usajiri wa vyama vyenu,
 
Daah !KWANI Cdm wameanzisha university ? Au Vyuo vya elimu ya juu ni Jumuia za Cdm. ?
Au sielewi kuwa wagombea uongozi wa Vyuo lazima wateuliwe na vyama. ?
 
WAKATI wanagombea walisema wao ni cdm tuliwaamini tukawapa kura,sasa kwakuiba pesa za wanafunzi kwanini tuwatenge,na ndomaana mwaka huu tarimo vicent aliposema yy anagombea urais na nimwana cdm tukampiga chini fasta wana cdm wasikuhz waroooo wanaingia cdm ili wale tuu
unaongea utumbo cjui wa fisi,sijui wa nguchiro. . .kwani wewe unasoma hapo,?hebu andika insha yenye jumla ya maneno 50,inayohusu ''lishe bora'',then tujue tatizo lako liko wapi tukusaidie coz hueleweki.
 
Je unauthibitisho gani kama kweli wameiba? Then sheria si zipo. Umechukua hatua gani? Mbona mnauifinyu wa mawazo kwa kuchagua mtu kisa ni chadema bila kujali uwezowake kuwatumikia?Ili uwe chadema, inabidi uwe mzalendo, mpenda haki na usawa. Hii inamaana wale wote wanaopigania utumiaji mzuri wa rasilimali zinazowazunguka wanatimiza philosophy ya cdm. Then hao waliowaibia sidhani kama ni damu ya chadema, waliwadanganya wakijua weakness yenu tu!
 
Rais mstaafu wa wanafunzi chuo cha ardhi (ARUSO) BW.Tegemeo,waziri mkuu wake Bw. BEga na Spika BW. Jikola wote wakiwa wanachama WA CHADEMA,wamekula njama wameiba pesa za Wanafunzi milioni 12.Dhamana waliyopewa wameshindwa kuitumia ipasavyo kiasi cha kusababisha wafuasi wa CHADEMA kuunga na CCM na kumpitisha Bw Mvungi kuwa rais mpya wa chuo kikuu ardhi na JUMA MKAMBA kama makamu (wote wanachama waCCM) sababu hawajaona Umuhimu wa kupigania kitu ambacho ni tabia ya mtu na siyo chama.WAmeamua kuchagua kiongozi BORA siyo CHAMA...Pongezi kwa wasomi kwa maamuzi BORA,...Tuzidi kuwapima na wengine ili tuchague wale walio bora tuu.
wewe ni muongo mkubwa,me nasoma hapo na ni mwanachama wa CHASO,huo utumbo wako sijawahi kuusikia,MAGAMBA WEWE!
 
dogo acha kuongea uongo. nakuhakikishia tege si CHADEMA hiyo ni 1 halafu kutokana na uchunguzi uliofanywa na mimi kama mwanajamii, hela iliyopotea ni Milioni 6, na haijadhibitishwa kwamba tege kaiba unless otherwise una udhibitisho wako. jambo lingine chuo kikuu ardhi hakimchagui kiongozi kutokana na itikadi za chama, huo ni uongo tena kwa kuwa umeongea uongo na nalidhitisha hilo, tumia nafasi hii kujisafisha.
 
Back
Top Bottom