Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema: Chukueni lile jembe la udsm"

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Shardcole, Apr 25, 2012.

 1. Shardcole

  Shardcole JF-Expert Member

  #1
  Apr 25, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,531
  Likes Received: 323
  Trophy Points: 180
  Jamani kuna kijana m1 huwa mara kwa mara anashiriki ktk kipindi cha malumbano ya hoja cha itv, kijana huyu ni mwanafunzi wa UDSM but jina limenitoka na hata last week(thursday) alikuwa among mwa wageni rasmi ktk mjadala uliohusu 'kupanda kwa gharama za maisha nini kifanyike'

  My take:

  Kwa mawanajf anyemfahamu vizuri kijana yule atutajie jina lake na details zake kwani mara kwa mara amekuwa akionekana na hoja za nguvu na endapo CDM itatamtumia basi hope dat 1 day atakuja hazina kubwa ya chama kwani kijana ni mpambanaji jasiri sana na mwenye msimamo.
   
 2. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #2
  Apr 25, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,517
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hivi kumbe chama kinaweza ktmwaproch mtu na kumtaka awe nao? Nilidhani ni mtu anaamua mwenyewe kujiunga na chama flani kwa 7bu anazozijua mwenyewe
   
 3. M

  MIRIJA IKATWE Senior Member

  #3
  Apr 25, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 136
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yes Chamakina weza kumfuta mtu kwa malengo fulani pia kwa upande mwingine mtu anaweza kukifuta chama na wenye chama wakataa, yote yanawezekana kumfuata na na kufuatwa
   
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  Apr 25, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 23,877
  Likes Received: 391
  Trophy Points: 180
  Mmmhh UDSM wengi wale hawana misimamo kuna kijana alikua mwanzo fresh anaichana serikali gafla kanunuliwa na magamba anajifanya mpemba!
   
 5. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #5
  Apr 25, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,048
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Kama ni mzalendo wa ukweli atajiunga mwenyewe na Chadema .
   
 6. Shardcole

  Shardcole JF-Expert Member

  #6
  Apr 25, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,531
  Likes Received: 323
  Trophy Points: 180
  mkuu myisanzu! Maoni yangu kama yule kijana ni mwanchadema basi wamtumie kwani hakika yule kijana ni mpambanaji mzuri sana.
   
 7. Y

  Yasser5 JF-Expert Member

  #7
  Apr 25, 2012
  Joined: Mar 15, 2012
  Messages: 207
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Yule ni mdogo wangu wa damu lakin mim kwa mapendekezo yangu mnaweza kufanya naye kazi lkn isije ikadhili masomo yake
  na kma sisi tunawapeni baraka zote na nadhani siasa ni kitu alicho kichagua mwenyewe na anakipenda hatuwezi kumzuia anitwa Fahmi Matswaily
   
 8. Shardcole

  Shardcole JF-Expert Member

  #8
  Apr 25, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,531
  Likes Received: 323
  Trophy Points: 180
  hongera kwa kupata mdogo alie competent, chadema mchukueni yule kijana kwani ni jembe kuliko hata hao baadhi ya vijana waloleta makundi kwenye uchaguzi wa BAVICHA.
   
 9. giraffe

  giraffe JF-Expert Member

  #9
  Apr 25, 2012
  Joined: Jun 6, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Kwao ni nyakibimbili
   
 10. Y

  Yasser5 JF-Expert Member

  #10
  Apr 25, 2012
  Joined: Mar 15, 2012
  Messages: 207
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hahaha
   
 11. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #11
  Apr 25, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 4,747
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  kama yule dogo aliyeandamana peke yake kwenda ikulu nasikia siku hiz akipumua anatoa hewa ya kijani na njano.
   
 12. mchapa shughuli

  mchapa shughuli JF-Expert Member

  #12
  Apr 25, 2012
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 348
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  Ha haa kijiji cha John Cheyo.
   
 13. Bonitah

  Bonitah Member

  #13
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yasser5, umemuuliza dogo kabla hujatoa infor zake? Big sis!
   
 14. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #14
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 8,296
  Likes Received: 949
  Trophy Points: 280
  au ni wewe mkuu?,anasoma ps na history mwaka wa pili
  yule yumo ndani ya chama..
  Tupo wengi tu,2015 nagombe udiwani kupitia CDM KWETU PAZURI huko kwetu bukoba.
   
 15. Y

  Yasser5 JF-Expert Member

  #15
  Apr 25, 2012
  Joined: Mar 15, 2012
  Messages: 207
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ??????
   
Loading...