CHADEMA chazoa viti Mbeya vijijini, CCM hoi

Molemo

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
14,534
13,225
Chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kimepata ushindi mkubwa katika uchaguzi wa serikali za mitaa wa wenyeviti wa vijiji na vitongoji kata ya Nsalala Mbeya vijijini.Chadema imenyakua vijiji 4 huku CCM ikiambulia kijiji 1 tu.Katika uchaguzi wa vitongoji Chadema imeshinda vitongoji 9 huku CCM nayo ikishinda vitongoji 9.Uchaguzi huo umefanyika mwishoni mwa wiki. Source Nipashe Uk.13
 
Pipozzzz Pawaaaaaaaaaa hadi vijiji vya kule ndani ndani ndaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!

Wabunge CCM kufyekwa toka idadi ya Wagombea Posho 250 na kuchujwa hadi kubakia mtu 78 tu itakayoendelea kukoka moto wa chama hiki kuleee upinzani wakiunga umoya wao na CUF huko huko!!!
 
Chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kimepata ushindi mkubwa katika uchaguzi wa serikali za mitaa wa wenyeviti wa vijiji na vitongoji kata ya Nsalala Mbeya vijijini.Chadema imenyakua vijiji 4 huku CCM ikiambulia kijiji 1 tu.Katika uchaguzi wa vitongoji Chadema imeshinda vitongoji 9 huku CCM nayo ikishinda vitongoji 9.Uchaguzi huo umefanyika mwishoni mwa wiki. Source Nipashe Uk.13

Safi sana! wananchi wa mkoa wa mbeya elimu ya demokrasia imewaingia!
 
Habari njema sana hii, hivi ccm siku izi wanashindwa kuiba?? Maana tulishawakataa siku nyingi lakini wana survive kwa njia ya kuiba kura pia kuyachakachua matokeo, duh kweli hali ni mbaya sana kwa magamba pia hawa jamaa enzi zao ndo zinaishia. Safi sana cdm
 
Hayo ndoi mambo yanayotakiwa vijijini kwa sasa,watu wamechoka na huyu babu ccm
 
Ni moto wa majiji yote Tanzania, Arusha, Mwanza,Mbeya hata Dar ukiondoa uchakachuzi CDM ndiye mshindi.
 
Habari njema sana hii, hivi ccm siku izi wanashindwa kuiba?? Maana tulishawakataa siku nyingi lakini wana survive kwa njia ya kuiba kura pia kuyachakachua matokeo, duh kweli hali ni mbaya sana kwa magamba pia hawa jamaa enzi zao ndo zinaishia. Safi sana cdm

taarifa zinasema nguvu ya umma ilitumika kulinda kura.
 
Back
Top Bottom