Chadema chamjadili Shibuda na kuandaa maandamano nchi nzima

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
46,892
32,308
Wanabodi.

Chadema imefanya mkutano wake jijini Dar es Salaam pamoja na mambo mengine ilimjadili John Shibuda kutokana na msimamo wake wa kuunga mkono posho.

Ofisa habari wa Chadema, Tumaini Makene alisema kuwa watatoa taarifa rasmi kuhusu kikao hicho.

Miongoni mwa mambo mengine yaliyojadiliwa na kikao hicho ni kuandaa maandamano nchi nzima.
 
Inashangaza sana Chadema kinamjadili Shibuda kuhusu kuunga mkono posho bungeni wakati huo huo Mbowe, Tundu Lissu, John Mnyika wote wanaendelea kuchukuwa posho bungeni.
 
Ritz unatafuta nn gheto la jirani? Mbona jana nyie mlivomjadili filikunjombe hatujaonge..una kimbelembele..we ni mchumia 2mbo
 
Johari za mtu ni mbili;
  1. Haya
  2. Akili

Tafuta hata moja mkuu itakurejeshea heshima yako si tu kwa jamii nzima japo hata kwa familia yako!!
 
Inashangaza sana Chadema kinamjadili Shibuda kuhusu kuunga mkono posho bungeni wakati huo huo Mbowe, Tundu Lissu, John Mnyika wote wanaendelea kuchukuwa posho bungeni.
Bila kuitaja Chadema kwako siku haijapita, jana CC ya CCM imekaa hatujakuona kukimbilia kuanzisha thread leo hata kikao cha Chadema hakijaisha unakimbilia kuanzisha usiyoyajua, pole sana.

Anyway una taarifa ya matokeo ya hukumu ya Lissu nisaidie tafadhali.
 
naamini mtu akiwa ccm,kuna kitu kinaathiri mfumo wao wa kufikiri!coz vitu wanavyoongea hata chekechea hawezi!
 
Wanabodi.

Chadema imefanya mkutano wake jijini Dar es Salaam pamoja na mambo mengine ilimjadili John Shibuda kutokana na msimamo wake wa kuunga mkono posho.

Ofisa habari wa Chadema, Tumaini Makene alisema kuwa watatoa taarifa rasmi kuhusu kikao hicho.

Miongoni mwa mambo mengine yaliyojadiliwa na kikao hicho ni kuandaa maandamano nchi nzima.
Kiherehere cha kimagamba ndicho kinachokusumbua.
 
Wanabodi.

Chadema imefanya mkutano wake jijini Dar es Salaam pamoja na mambo mengine ilimjadili John Shibuda kutokana na msimamo wake wa kuunga mkono posho.

Ofisa habari wa Chadema, Tumaini Makene alisema kuwa watatoa taarifa rasmi kuhusu kikao hicho.

Miongoni mwa mambo mengine yaliyojadiliwa na kikao hicho ni kuandaa maandamano nchi nzima.
Kiherehere cha nini hata kikao hakijaanza.
 
CHADEMA tupeni burudani, tusije kufika Juni 2012 bila ya maandamano; mie nafurahi mnaposhindwa KUTII SHERIA!! Hatahivyo nawapa pole watanzania wamechoka maandamano yenu yasiyo na tija
 
MTACHONGA SANA LAKINI CCM ITABAKI KUWA NUMBERI ONE SIKU ZOTE MPAKA MWISHO WA DUNIA..ONA WATU NA RAHA ZETU 2FWATE ZAKO SIDA ILI SIWEJE...ona kwenye picha 2nafurahia Maisha Ww kila wakati unalia na kununa2
 
Maandamano nchi nzima ya nini.Thread yako haijaweka wazi jambo hilo.Halafu nashangaa CDM kumng'ang'ania Shibuda.Mbona mission yake iko wazi,ambayo ni kuisambaratisha CDM.Wake up guys, mfukuzeni huyo.
Wanabodi.

Chadema imefanya mkutano wake jijini Dar es Salaam pamoja na mambo mengine ilimjadili John Shibuda kutokana na msimamo wake wa kuunga mkono posho.

Ofisa habari wa Chadema, Tumaini Makene alisema kuwa watatoa taarifa rasmi kuhusu kikao hicho.

Miongoni mwa mambo mengine yaliyojadiliwa na kikao hicho ni kuandaa maandamano nchi nzima.
 
Tumaini Makene jitokeze tufahamishe dhumuni la hayo maandamano ni nini?
 
Last edited by a moderator:
Siwezi kuamini habari inayoletwa na Ritz, Rejao na wengine ambao sikuhzi siwaoni kama malaria sugu...cjui wamenyimwa posho!
 
Wakuu nashangaa sana Pro-Chadema JF hawajui habari za ndani za chama chao mpaka Ritz anaingia jikoni kuchukuwa data na kuleta JF subiri basi habari kutoka kwa Tumaini Makene.
 
Wanabodi.

Chadema imefanya mkutano wake jijini Dar es Salaam pamoja na mambo mengine ilimjadili John Shibuda kutokana na msimamo wake wa kuunga mkono posho.

Ofisa habari wa Chadema, Tumaini Makene alisema kuwa watatoa taarifa rasmi kuhusu kikao hicho.

Miongoni mwa mambo mengine yaliyojadiliwa na kikao hicho ni kuandaa maandamano nchi nzima.

Pole mkuu Ritz
 
Back
Top Bottom