Ni kweli kabisa, wanao weza tunawaona walipo tufikisha! lol!
Mkuu tumejifikisha wenyewe hakuna aliyetufikisha ni sisi wenyewe
Ni kweli kabisa, wanao weza tunawaona walipo tufikisha! lol!
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe ametamba kwamba safari hii Jimbo la Biharamulo Magharibi ni mali ya chama chake ndio maana hakulazimika kutumia helikopta kufanya kampeni.
Alisema kutokana na uhakika waliona ndio sababu chama chake kimeshajipanga vizuri na kuandaa mikakati ya kulinyakua na akaongeza kuwa jimbo hilo kwa sasa si mali ya Tanzania Labour (TLP) wala Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Mbowe aliyeambatana na Mbunge wa Viti Maalumu, Halima Mdee alisema Chadema ndio chama cha pekee chenye nguvu kilichojipanga vizuri na kina mkakati wa kutosha kulinyakua jimbo hilo baada ya kubaini makosa yaliyofanywa na TLP baada ya aliyekuwa mbunge wake, Phares Kabuye kufariki.
Alisema chama chake kilianza mapema kuelekeza nguvu zake kuanzia ngazi ya kaya ili kuhakikisha kwamba hilo jimbo linakuwa himaya ya chama hicho kwani wananchi wanatambua kuwa upinzani ndio unaweza kuwaletea maendeleo, kwani kwa madai wametelekezwa na Serikali ya CCM.
Alisema kwa kuwa mikakati ya chama hicho ilishafanyika mapema ili kunyakua jimbo hilo, hakuona haja ya kutumia helikopta kwa kuwa tayari wamejenga mtandao wa kuwafikia wananchi walio wengi baada ya kujua matatizo yao na kujua jinsi watakavyowasaidia kwa kumtumia mgombea wao Anthony Mbasa.
Mbowe alisema wananchi wa jimbo hilo wanatambua kwamba Mbasa amekuwa akishiriki katika huduma mbalimbali za kijamii katika jimbo hilo kutokana na taaluma yake ya udaktari inayofamfanya azunguke katika vijiji, kata na tarafa vya jimbo hilo kuwahudumia wananchi katika mazingira magumu.
Baada ya blah blah nyingi na majigambo ya kuwafikia wananchi kwa urahisi, hatimae Chadema wamegundua siasa sio kuvurumisha chopa hewani na sasa wamezika rasmi uwezakano wa kutumia chopa kule Bihalamuro.
Huku akionyesha kukata tamaa na kampeni zilizo dorora kama mjuzi usio na ndimu Freeman Mbowe kachomoa kutumia chopa kwenye kampeni za Biharamulo.
Watafiti wana magiwji wa siasa wanadai Mbowe anaelekea kufuata ushauri wa Mzee Malecela kuwa siasa haichezwi angani bali ni kwenye ground na hakuna kituo cha kupigia kura kilichopo hewani.
Kuna uvumi uliozaa kuwa mfadhili wa Chopa Mzee Mengi kaishiwa kiasi cha kushindwa kuwalipa mishahara ya mwezi uliopita wafanyakazi wa IPP. Hivyo amewashauri watafute "vyanzo" vingine. Hata hivyo haikuweza kufahamika mara moja hivyo "vyanzo" vingine ni vipi.
Tupate habari zaidi!

Kama ni uvumi basi ingekuja humu kama 'TETESI' hadi hapo itakapothibitishwa au itakapokanushwa, na hadi hao Watafiti na Magwiji wa siasa watakapojulikana ni wakina nani. Si mtu yeyote tu akijiita ni mtafiti na gwiji wa siasa ndivyo alivyo!Watafiti wana magiwji wa siasa wanadai Mbowe anaelekea kufuata ushauri wa Mzee Malecela kuwa siasa haichezwi angani bali ni kwenye ground na hakuna kituo cha kupigia kura kilichopo hewani.
...
Kuna uvumi uliozaa kuwa mfadhili wa Chopa Mzee Mengi kaishiwa kiasi cha kushindwa kuwalipa mishahara ya mwezi uliopita wafanyakazi wa IPP.
Argentina siyo Tanzania! Argentina wengi ni wakatoliki hivyo hakuna problem akiwa padre rais lakini tanzania haiko kihivo!Mbona sasa mnaanza kuleta majungu, kwani kikiwa chama cha maskofu kuna nini?? Mbona mnaanza kupotea ndugu zangu, Watu wanakuja na kuponda kuhusu CHADEMA?? Why vyama vingine Kama CUF?? TADEA, UDP and vyama vingine, Kwani kule Argentina aliwahi anaongoza Parde na wapiga kura walio wengi ni Wakatoliki, Kwani vipi jamani?? Sasa haya majungu
Baada ya viongozi wa kanisa kuchoshwa na CCM, hasa JK wameamua kukihalalisha chadema kuwa chama rasmi kwa wakristo wote, unaweza kuangalia SAFU yao uongozi wa juu hakuna waislamu na pia slaa ni padre (hii nafasi kama CID vile mpaka kufa mtu haachi). Mambo yafuatayo yanadhihirisha hilo
a) Hivi karibuni inasemekana walimrubuni Lwakatare atoke CUF
b) Chadema inapewa support kubwa na wafanyabishara wa kikristo na fedha nyingine kutoka kanisani ili iweze kushinda, wako kina Mengi (nyangumi) hii inafanyika kwa siri kubwa
c) Vyombo vya habari na mitandao itatumika ku-influence public opinion kanisa pamoja na Mengi wana-own 90% of the media Tanzania.
d) Hata hii movement ya waraka wa uchaguzi ni sehemu ya mkakati wenyewe
NB. Waislamu watagawanywa ili kila wakati ashinde mkristo nafasi ya U-rais!