Elections 2010 Chadema chama cha umma - nguvu ya umma - ushauri - 'plan 'b'

Well, CHADEMA kabla ya kutegemea kufanya mambo makubwa inabidi iangalie misingi ya chama chake - Kwa mawazo yangu structure ya CHADEMA is not sustainable. In a short term CHADEMA can succeed but not in along term, it is doomed to fail - Inabidi kuwa na diversity kwenye Uongozi wa hiki chama. Na kisiendeshwe kama ukoo au kuleta impression hiyo. Do not get me wrong wanajitahidi kufanya hivyo kama ilivyo jionyesha kwenye uchaguzi huu lakini kuna mambo fulani au nafasi fulani za uongozi CHADEMA hazipo tayari kubadilika -:smile-big: --- go figure
 
Kura ktk nchi zilizoendelea zinapigwa kwa sababu ya policies, ideologies (Conservative, progressive). Tanzania hatuna vitu kama hivyo. Angalia vitu vilivyoimaliza CUF bara. Siyo kwa sababu walikuwa Wadini, No, CCM walitumia udini kuimaliza CUF bara. Na CUF walishindwa kuadress hizo issue in Public level.
Sasa hivi CCM wanatumia same policy za UDINI kuimaliza Chadema. Sasa kama Chadema wanataka kuovercome hizi issue inabidi waziadress in a public level. Chadema haiwezi kukaa bila ya action.

Hili nimuhimu kulikubali: Japo kuwa CHADEMA/CUF pengine haikupanga wala haikupenda kuwa chama cha dini fulani bali kutokana na fitina ya CCM, public ikaitikia huo mwangwi wao na hivyo kila group ya public kuji aligne kule walikoambiwa ndo kwao. Tactic kubwa ikawa CCM inafanya divide and rule and viongozi wa vyama hivi viwili wanapoona wana banwa na hiyo strategy ili wasipoteze kabisa wanaona bora iwe hivyo for the sake of survival and so kuitikia informaly to hiyo mwangwi na kuokoteza huko kwingine.

Cha msingi ni wana CCM wazalendo watambue CCM kama chama ina enjoy hiyo supremacy na kuendelea kukumbatia hiyo strategy lakini for whose benefit? Wanachama wengi wa CCM hawafaidiki and a small group ya watu ndani yao wanaichukua hiyo kujikingia kama cover for their hiden evil agenda, je moraly hao wazalendo wanaikubali? Kama sivyo basi wafanye kila waliwezalo kuleta balance kwa kuusaidia upinzani kuweza kuleta competition ambayo itatoa check and balance na kuondoa uwezekano wa wachache kutugawa kwa misingi ambayo tumefanikiwa kuiondoa siku za mwanzo kabisa za miaka ya uhuru wetu.

Tukumbuke kuwa mpaka sasa social capital ya rural community bado ni kubwa ndiyo maana wakipokea chochote lazima watimize ahadi yao. Lakini its so sad kuwa like building a house its very difficult to accomplish the task but very easy to destroy/demolish and so is the social capital.

I for one have decided to be upinzani for my life hata kama chama changu (cha upinzani chenye nguvu kwa muda huo) kinashinda siku hiyo hiyo nabadili uanachama na kuwa upande wa pili mpaka kuwe na balance inayotakiwa for the sake of the poor and marginalised!

My whole family (parents & brothers and sisters) is CCM damu tena ya kijani kibichi plus my partner and the inlaws lakini have never enjoyed to be part of these dear people kwenye siasa; I love them yes more than anything lakini hii monopoly noooooo they better forget and leave me alone!

Nawapongeza wapinzani wote kwakufanikisha kulisogeza gurudumu la demokrasia mbele. Mnapata misuko suko mingi lakini bado mnajikaza pamoja na resources kidogo. Lakini Mungu ni mwema tena yu hai msife moyo ipo siku tutafikia malengo yetu!
 
Nakubaliana kwa alilimia 100%
unajua maumivu haya ya kutuchakachulia matokeo huku tunaona watendaji halmashauri wenye mamlaka ya kusimamia chaguzi ni wanateuliwa na Raisi na NEC vivyo hivyo, hapa ndipo unapokuja usemi usemao anayemlipa mpiga zumali ndiye mwenye haki ya kuchagua wimbo JK ameamua kuchagua wimbo wa kuchakachua matokeo
 
Chadema hakitodumu kwa muda mwingi. Kitakuwa kama NCCR-Mageuzi-TLP. Hizi sababu chache ambazo inabidi uziangalie kabla 2015.
Kuna factors nyingi sana ambazo zimefanya Chadema kuanguka ktk uchaguzi wa mwaka huu.
1:Kwanza Udini umeimaliza Chadema. Chadema hakina haki sawa ktk uongozi.
2: Slaa alikuwa hana point za kiuchumi kuwafanya wasomi wengi wampigie kura.
3:Kashfa iliyomkumba kuhusu mke wa watu, imefanya upinzani kuwa weak, pamoja na Chadema.
4: Degree aloyosomea ya Upadre haihusiani kabisa na Maisha ya MTZ.
5: Chadema bado haina wafuasi wa dini ya Kiislamu.

Chadema kama inataka iendelee ktk siasa za TZ, inabidi waangalie hizo agenda. Wataweza vipi kuwashawishi Waislamu ktk Chadema. Nilikuwa naongea na Waislamu wengi, ambao walikuwa hawamuamini Dr. Slaa. Wanaamini kwamba Dr. Slaa atakuwa kama Nyerere. Hili ni Tatizo kwa Chadema.

Solution:
1:Ungana na CUF, TLP, NCCR.
2:Toa ahadi kwa Waislamu, waambie Waislamu kwamba mnaonewa na CCM.
3: Dr. Slaa, kuwa karibu na Waislamu, na ondoa FIKRA kwamba JK anapendelea Waislamu.
NK.

Your damn fool
 
Kwa kweli tujaribu pia kutafakari pia na hayo mawazo yawachangiaji, pamoja kwamba hayavutii sana lakini between the thin line there is truth.
 
Tuacheni hoja za udini jamani,unajua kila kitu kinapoanzishwa huwa lazima kiwe kina waanzilishi sasa mfano chadema waasisi ni akina Mtei,waliokuwa karibu nae wakati huo walikuwa jamaa zake wa karibu kutoka pande hzo lkn kwa sasa CHADEMA inawanachama kila kona,shinyanga mfano wale sio wachagga,mwanza,iringa,sasa mtakiitaje chama cha udini na ukabila?hlf suala la kuungana ni lazima watu wote wa vyama viwili wakubaliane,sasa kama watu kama akina Lipumba siku zote wanataka wao ndo wagombee uraisi hata kama wananchi hawmuhitaji nani atakubalin aungane nae?mi nachoomba CHADEMA wasikatishwe tamnaa nna hizi pandikizi za udini na ukabila,ila izidi kujiimarisha tu mwisho wa siku kitaeleweka Roma haikujengwa siku moja
 
Ndugu yangu Haki............ mbona una mawazo finyu? mbona una udini? mbona CUF haina wafuasi wengi bara? mbona wafuasi wengi wa CUF wapo sehemu za mwambao tu .........
Mbona CHADEMA hawasemi kwamba CUF ni chama cha udini ........ mbona ...... mbona ........... fikiria kwanza kabla ya kuandika. Tanzania itajengwa na wenye moyo na upendo na sio wenye udini :israel:
Kwanza,Mie ni Independent, sipo ktk chama chochote.

Angalia data za CUF ktk uchaguzi wa mwaka 2005,2000,1995. Utagundua kwamba CUF ilikuwa na strong base sehemu kama Dar. Lakini kuna issues zilizojitekeza, CCM walikuwa wanatumia kampeni za Udini kukimaliza CUF. Matokeo yake CUF walishindwa kuzijibu hoja zao kwa vitendo. Sasa hivi unaona CCM wanatumia same agenda za Udini kukimaliza Chadema.
Angalia data za Chadema sasa ktk uchaguzi huu, utagundua sehemu ambazo hawakupata kura nyingi, ni kwa sababu gani? Vitu hivi ndivyo wanavyofanya wenzetu, wanastudy poll.
 
My Plan B is here:

Mkakati wa Wapambanaji Ndani ya Bunge Lijalo;
* New Electoral Commission (Tume Mpya na Huru ya Uchaguzi)
* Mabadiliko ya Katiba, kuondoa Viongozi CCM kuwa wakala wa Tume Mikoani (Wakurugenzi na Watendaji)
* Kubadili Katiba ili Rais aweze kuwajibishwa kwa kosa lolote la kwake au mtendaji wake.
* Kupunguza Mamlaka ya Rais kuteua mtu yeyote, lazima athibitishwe na Bunge.

Hii yote ilkifanikishwa kwa 85%, ifikapo uchaguzi mwaka 2015 - Kutakuwa Chama cha Kijani Tz...watabaki 'Masalia' tu.

Na kuanzia sasa, hakuna kulala, kazi inaanza baada ya uchaguzi huu!

Nawakilisha.....People's Power!!

Huwezi kutembea kabla ya kutambaa, at hand is the issue of results haya mambo ya kuanza kukosoa ni baada ya hali ya hewa kutulia, Jiulize wewe umefanya nini so far? Je, mchango wako katika hali tete kama hii ni nini? Au ndio mnakubali wizi wa kimachomacho na kutegemea kuja kujaribu tena baadaye? Ni lazima tusimame kidete na kuona kwamba CCM hawabadili matakwa ya wapiga kura, tutakuwa hatuwatendei haki wale waliojitokeza kupiga kura na sisi tuna agenda ya kukaa kwenye meza na kupeana biscut na kuwaacha solemba. Hasa wale ambao tayari damu yao imemwagika.
 
nashangaa watu wanakataa ukweli, tatizo la slaa na chadema yake ni udini, (na ukabila) jamani mnabisha nini? tutaendelea kukwepa ukweli mpaka lini? hebu jiulizeni, nisehemu gani yenye waislamu wengi slaa kapata kura nyingi? kwanini iwe iringa, mbeya, moshi, Arusha why not Dar, and other muslim regions?
kwa taarifa yako hata hao wakristo ambao hawakupigia kura ni either si watu wa dini kwa sana au wanaogopa vita (siunajua alshabab wanaweza kuhamia hapa kutoka somalia). hawa hawataki fujo zakijinga, wao wameamua kuishi na waislam kwa amani kama raia na majirani wema wenzao(nawapongeza). lakini the rest mbona mnazungumza waziwazi sasa mnabisha nini jamani? tuwe wakweli. Yaani kama mlivyofanya mwaka huu mnatgemea 2015 mfanye hivi basi mtakuwa kwenye hali mbali kuliko matarajio kwani watanzania wangi huwa hawapendi fujo. believe me. you will see kama slaa atauzika hiyo 2015 hasa katka muslem domains. I swear.
sote tumechoka na CCM kwani wengi wanafanyia kazi mazoea tu na wala hana mawazo mapya, lakini kwa hicho mlichofanya mwaka huu kumshambulia JK tu kwa sababu ni muislam hakuna atakayekubali. kwani JK mnampiga vitu kwa sababu ya hoja kama islamic banking, OIC, kadhi, Misamaha ya kodi kwenye mashirika ya dini (tena napendekeza misamaha yote ifutwe iwe ni kwenye dini au kwengineko) na vitu vya jamii hiyo.
I have got many christians friends, I don not fill confortable to tell many things which is reality, kwani mi si mtu washari na wala nisingepenga kuwaprovok friends zangu. But I writing this so as they can know how truth it is. I think this is clera
 
Mutwale - Ahsante kwa ujumbe wako. Kukubali tatizo ni mwanzo wa ufumbuzi wake. CHADEMA ni chama cha ukoo na ukabila ndio maana vyeo fulani chadema haviwezi kushikwa na mwingine. This can last only briefly... kwavile sio sustainable. Vyama vya namna hii ndio baadaye vinaweza kuleta mpasuko. Pamoja na kujaribu kuleta mageuzi lakini CHADEMA kimejengwa kwa misingi ya Ukoo ukoo. Very dangerous tunaweza kuwa kama yaliyotokea Kenya -
 
Wana JF. Can i suggest somethin? LETS NOT COMMENT ON HOJA ZA KIPUUZI. Mtu akileta hoja yakijinga, tukataetu kumjib. Mwishowe tunaonekana wajinga kujibizana na wajinga wa ccm

Naungana na wewe Dr Slaa alisema tuwapuuze kabisa.
 
Chadema hakitodumu kwa muda mwingi. Kitakuwa kama NCCR-Mageuzi-TLP. Hizi sababu chache ambazo inabidi uziangalie kabla 2015.
Kuna factors nyingi sana ambazo zimefanya Chadema kuanguka ktk uchaguzi wa mwaka huu.
1:Kwanza Udini umeimaliza Chadema. Chadema hakina haki sawa ktk uongozi.
2: Slaa alikuwa hana point za kiuchumi kuwafanya wasomi wengi wampigie kura.
3:Kashfa iliyomkumba kuhusu mke wa watu, imefanya upinzani kuwa weak, pamoja na Chadema.
4: Degree aloyosomea ya Upadre haihusiani kabisa na Maisha ya MTZ.
5: Chadema bado haina wafuasi wa dini ya Kiislamu.

Chadema kama inataka iendelee ktk siasa za TZ, inabidi waangalie hizo agenda. Wataweza vipi kuwashawishi Waislamu ktk Chadema. Nilikuwa naongea na Waislamu wengi, ambao walikuwa hawamuamini Dr. Slaa. Wanaamini kwamba Dr. Slaa atakuwa kama Nyerere. Hili ni Tatizo kwa Chadema.

Solution:
1:Ungana na CUF, TLP, NCCR.
2:Toa ahadi kwa Waislamu, waambie Waislamu kwamba mnaonewa na CCM.
3: Dr. Slaa, kuwa karibu na Waislamu, na ondoa FIKRA kwamba JK anapendelea Waislamu.
NK.

Nina wasiwasi na uwezo wako wa kuainisha mambo na utashi wako unakutambulisha kuwa unafaidika na EPA wewe...leo hii unahubiri dini kwenye taifa letu..kama ccm inataka kutawala, itatawala lakini tutawaeleza ukweli kuhusu EPA, Richmond, BoT, mbele yenu mchana kweupe na hamtatufanya lolote
 
[QUOTE=kunjygroup;1212776]Wana JF. Can i suggest somethin? LETS NOT COMMENT ON HOJA ZA KIPUUZI. Mtu akileta hoja yakijinga, tukataetu kumjib. Mwishowe tunaonekana wajinga kujibizana na wajinga wa ccm[/QUOTE]


Mh. KUNJYGROUP nimeipenda hekima yako. Nakuunga mkono. Hiyo ndiyo fimbo safi ya kumchapia mpumbavu kama huyo anayelinajisi jina la Haki.
 
Hii haikubaliki nasema kama noma na iwe noma

Matokeo Tunduru Kaskazini

Kikwete amepata kura 22,261

Slaa amepata kura 1,965

Lipumba amepata kura 12,935
 
wabunge mliofanikiwa kupata hivyo viti, tunawaombeni mkatusaide huko bungeni kubadilisha hii katiba ambayo inawafanya hawa majambazi wakubwa wasio na ibu (CCM) kuendelea ku-tunyanyasa kijinsia, ambayo itampunguzia power, hii itasaidia kuwang'oa hawa majambazi,kama vile wakuu wa mikoa na wilaya wachagulie na wananchi kama wabunge sio tena kuchaguriwa na raisi, then kila mkoa na wilaya kuwa na jaji wake ambaye atachaguriwa na wananchi kama wabunge, twaombeni hii itasidia sana kubadilisha matokeo
 
Kura ktk nchi zilizoendelea zinapigwa kwa sababu ya policies, ideologies (Conservative, progressive). Tanzania hatuna vitu kama hivyo. Angalia vitu vilivyoimaliza CUF bara. Siyo kwa sababu walikuwa Wadini, No, CCM walitumia udini kuimaliza CUF bara. Na CUF walishindwa kuadress hizo issue in Public level.
Sasa hivi CCM wanatumia same policy za UDINI kuimaliza Chadema. Sasa kama Chadema wanataka kuovercome hizi issue inabidi waziadress in a public level. Chadema haiwezi kukaa bila ya action.

Huwezi kui-address hiyo issue in public level wakati mapapa, manyangumi na masangara yanashirikiana kuihujumu CUF.

Yote ya yote, huu ulikuwa uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani na japo wamepata wabunge wachache bara lakini ukweli ni kuwa wamepta viti vingi vya udiwani. Lakini kama kawaida kwa sababu mapapa, nyangumi na masangara yanashirikiana basi matokeo ya udiwani hayatapewa kipaumbele kabisa.
 
Back
Top Bottom