Chadema,Chadema nakupenda kwa moyo wote

Mkurabitambo

JF-Expert Member
Feb 3, 2010
230
57
nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu walau kila kaz,ujumbe mbalimbali za CDM.
Ninazikubal jitihada zao,ila niko na swal moja...
Mbona jitihad za viongoz wa kuu wa Chadema jitihada zao zimekaa sana katika mikoa Arusha,Mara,Mwanza na Shinyanga?
Mikoa hiyo tayari CDM inafaamika sana,sasa kwa nini jitihada hizo 2siziamishie mikoa kama Mtwara,Lindi,Ruvuma na mikoa mingne ambayo CDM haijaota mizizi bado.
Tuongeze jitihada kuelekea 2015....

Wenu mwanachama mtiifu
 
ww upo dunia gani mkuu cdm imeenea nchi nzima mpaka nje ya nchi na cyo mikoa hyo uloitaja tu mkuu
 
Jitihada zao zipo zaidi kwenye mikoa uliyotaja, kwa sababu huko ndo kuna wakristo wengi.
.
"MADARAKA HUMBADILISHA MTU, YAPATE KWANZA NDIPO TUIJUE TABIA YAKO".
 
ww upo dunia gani mkuu cdm imeenea nchi nzima mpaka nje ya nchi na cyo mikoa hyo uloitaja tu mkuu
tujibu hoja kwa uangalifu kwani majibu yetu ndio yanawapa mtaji magamba....based on facts CDM Wamewekeza nguvu nyingi mikoa tajwa hapo juu..jiulize ni lini viongozi wa juu wa CDM wamefika Mtwara,Lindi? tusije tukamtafuta mchawai mwishoni(2015) wakati sisi wenyewe tupo Arusha kila siku.Je wanaRuvuma hawahitaji mabadiliko? je wanaMtwara nk
 
Back
Top Bottom