CHADEMA!,CHADEMA!CHADEMA!..... nilikupenda,nakupenda,ntakupen da,kwa moyo wangu wote.

Mungu ibariki Chadema,,,
wabariki viongozi wake' wake kwa waume na watoto,
Mungu ibarikii, Chadema na watu wake,, na wale wasiokuwa wake wabariki maana hawajui watendalo.
 
Mungu ibariki Chadema,,,
wabariki viongozi wake' wake kwa waume na watoto,
Mungu ibarikii, Chadema na watu wake,, na wale wasiokuwa wake wabariki maana hawajui watendalo.

mungu wabari hata wale ambao hawaipendi chadema,maana siku moja watakua watakua chadema
 
NAKUPENDA CHADEMA NAKUPENDA KWA MOYO WANGU WOTE, MAANA UNAYO NIA, MIPANGO, JITIHATI ZA DHATI KUIKOMBOA TANZANIA KUTOKA MIKONONI MWA MAFISI WALAFI WALIO JAA UBINAFSI ASHSATE KWA HILO. NAMI NAJITOA KUKUTUMIKIA KWA HALI NA MALI. PEEEEEEEEPOZZZZZZ POWERRRRR:smile:
:smile:
 
na ni chaguo sahih,kwa wakati sahihi,kwa lengo sahihi.i love chadema
 
CHADEMA,nimeamka kwaajiri ya kufanya maombi usikuhuu,pamoja na maombi mengine kwa mungu wangu ntakuombe nawe pia,hata viongozi wanao kuongoza pia ntawaombea.CHADEMA NAKUPENDA KWA MOYO WANGU WOTE
 
Sitaogopa kuwa mstari wa mbele popote kukutea wewe CHADEMA,ntakupigania katika hali yoyote ile kwa uwezo wangu wote kwani wewe ndio tumaini langu la kweli.NAKUPENDA CHADEMA KWA MOYO WANGU WOTE
 
CHADEMA,leo najua utaenda kula weekend jangwani,na mimi usiniache,ukiniacha ntapoteza maisha,kwani najua chakula ulicho kianda huko ni kwaajili ya maisha yangu ya baadae mimi mtanzania.NAKUPENDA CHADEMA KWA MOYO WANGU WOTE
 
sijutii kukupenda CHADEMA,wewe ni mkalimu na mwenye busara umewakalimu wageni wetu leo.
 
Hongereni timu yote ya CHADEMA iliyo USA,Hongera mhe, zitto kwa hotuba uliyotea kwa watanzania wenzetu.CHADEMA NTAKUPENDA KWA MOYO WANGU WOTE
 
Back
Top Bottom