William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,588
- 10,374
- Thread starter
- #81
Cha kusema nimeshakisema ila unajivua ufahamu kuhusu content iliyopo kwenye post yangu.
Nachomaanisha, kilichosemwa na shibuda pamoja na nassary ni vidogo sana kufananisha na yaliyosemwa na wana CCM (lowasa, beno malissa n.k) hasa ukizingatia wewe ni mwana ccm ni bora ujadili makubwa ya chama chenu alafu ndo ujadili madogo ya chadema that why nimekusisitiza ujaribu kuzima moto mkubwa unaoteketeza nyumba yako kabla ya kwenda kutoa precaution kwa jirani yako kuwa ajihadhari na moto ambao bado hujaanza kuteketeza nyumba yake.
Mkuu tunafata ushauri wa mtu aliyeonyesha mfano kwake, sasa kuna haja gani ya kukimbilia ya watu while yako yanakuendea vibaya??
- Great Thinker, fungue thread ya mambo ya Lowassa na Beno, hapa ni Nassari na Shibuda una hoja sana ila sio pahali pake!
William.