CHADEMA bwana

Wakati wa Uchaguzi Mkuu wa rais mimi sikuwepo Tanzania, kumbe nusu ya waliojiandikisha kupiga kura hawakujotokeza kupiga kura!
Sasa mbona mgombea wa CDM a loser Dr Slaa, anasema alishinda wakati mashabiki wake walikuwa vijiweni wakati Magamba wanakwenda kupiga kura

Chama tawala ni chadema au ccm? Maana nashindwa kuelewa! Umuhimu wa vyama pinzani ni kuchalenge chama tawala, angalia kina zito kabwe na wenzie wamefichua maovu mangapi? Tufikirie kwa kina endapo vyama vya upinzani visingekuwepo hii nchi nafikiri ingeuzwa.

Mkuu kuna baadhi ya halmashauri CDM ni watawala na CCM ni wapinzani au sio kweli?

Yes, Majiji yote makubwa, au hujapita Masaki, mikocheni, msasani, Regent estates, maji tele tele, umeme wa kumwaga, barabara za lami na mijumba mikubwa mikubwa.

Mkuu Sahara sio utani CDM kuna Halmashauri inaziongoza na nyingine imekuwa ikiziongoza kwa miaka mingi sasa kama ile ya hai, huko CCM kinabaki kuwa chama cha upinzani. Tuchukulie kama mfano je hayo unayoyakejeli kwa masaki na Regent estate kwenye hizo Halmashauri vinapatikana?

wewe ni mataka wa nape....safari hii tukiandamana tutakuwa kamili wole wenu na hao mbwa wenu mtupige mabomu ya machozi na risasi tutaanza na viofisi vyenu halafu tutamalizia vituo vya polisi...

Mkuu with respect usitumie maneno ya uchochezi sote tunahitajia Tanzania salama na kama unayoyasema ya kweli kwanini basi unatumia jina fake? tutajuwaje dhamira yako au unataka kupanda mbegu mbaya za chuki halafu ufurahie watu wakiumia wewe ukiwa umeminya sehemu tuliii?

Kati yako na Flora nani mkubwa?
Naona wewe unatema pumba tu.. bora Flora ana akili kidogo!
watoto wa Papaa Msoffe mnanisikitisha sana![/QUOTE
Rejao.
Mpenda amani wewe huko Arusha, Nasikia Arusha, Karatu, Kilimanjaro, Saruji mfuko mmoja sh5000?

Binafsi nimefurahi sana huyu mchanga anavyowachangamsha kwenye siasa......! Hata ukifuatilia vema amekuwa akishindwa kujizuia kuto "Likes" katika baadhi za comments fulanifulani.....!

hizo halmashauri zipo chini ya wizara gani? Waziri huyo anariporti kwa nani? anatekeleza ilani gani?

Mkuu sitaki niamini hapo ndio mwisho wako wa kufikiria, hivi hujui kuwa madiwani wanapitisha bajeti za halmashauri zao? kwa ajili ya maendeleo ya halmashauri zao! au unataka tuamini haya huyajui?

Hujui kuna baadhi ya miundo mbinu inashughulikiwa na halmashauri? na sio serikali kuu! Hujui na hupendi kujua na hutajua! hapana unajua ila unataka uonekane hujui kwa maslahi yako au ya wanaokutumia.

Tanzania ni nchi moja yetu sote tusibabaishwe na wanasiasa sisi kama wananchi tuangalie ya yakini kina nani wamefanya nini na wanastahili pongezi au bado wanatakiwa kuelezwa waongeze bidii. Tusipeane sifa za kijinga hivi vyama vinapita tu ila Tanzania yetu itakuwepo mpaka siku ya mwisho.

Wakati wa Uchaguzi Mkuu wa rais mimi sikuwepo Tanzania, kumbe nusu ya waliojiandikisha kupiga kura hawakujotokeza kupiga kura!
Sasa mbona mgombea wa CDM a loser Dr Slaa, anasema alishinda wakati mashabiki wake walikuwa vijiweni wakati Magamba wanakwenda kupiga kura

ulikuwa upo Abbottabad ....umenkurupushwa na Navy SEAL

wewe ni mataka wa nape....safari hii tukiandamana tutakuwa kamili wole wenu na hao mbwa wenu mtupige mabomu ya machozi na risasi tutaanza na viofisi vyenu halafu tutamalizia vituo vya polisi...

Kwa hiyo safari hii mtaandamana na silaha nzito, halafu mnamalizia kuchoma moto vituo vya polisi du!!
Hawa ndio wadau wa CDM nadhani mnawasikia kauli zao

Mkuu Sahara sio utani CDM kuna Halmashauri inaziongoza na nyingine imekuwa ikiziongoza kwa miaka mingi sasa kama ile ya hai, huko CCM kinabaki kuwa chama cha upinzani. Tuchukulie kama mfano je hayo unayoyakejeli kwa masaki na Regent estate kwenye hizo Halmashauri vinapatikana?
Mbona unadanganya umma? CCM imekuwa hai kwa past five years chini ya Fuya Godwin Kimbita(CCM)

Kati yako na Flora nani mkubwa?
Naona wewe unatema pumba tu.. bora Flora ana akili kidogo!
watoto wa Papaa Msoffe mnanisikitisha sana!

Ulitaka tuunge mkono upuuzi wako unaoleta hapa jf? Matatizo ya umeme, mafuta, mauaji ya raia, wizi wa mabilioni nani kaleta km magamba?? Cc 2najivnia sn cdm kwa sbb
1. Cdm imeweza kudhibiti wizi wa ccm wa mil. 16 pe month walizokua wanampa mkurugemzi wa manispaa kwa kisingizio ni za kununu maandazi

2. Kati ya hz mil 16 wamemuachia mkurugenzi mil. 4 tu ya mandazi mil.12 znatumika kuwasomesha wanafunzi wt wa secondary wazaz hawatoi ht 10

3. Maendeleo makubwa ya mji wetu nk. CHADEMA NI MKOMBOZI WA WANYONGE

Ni mara nyingi huwa nasikia makelele kuhusu matatizo mengi yanayotukabili from hicho chama ila sijawai kuona wamefanya action yoyote kama ni shida watu wanaendelea kupata shida.

Hivi kuna mtu anaeweza kusema cdm imemsaidia nini yaani imemtoa sehemu flani kwenda sehemu flani? Tukubali watanzania kila mtu anaishi kwa akili na juhudi zake mwenyewe hamna cha chama kitukufu wala cha CHADEMA hapa,ULE ,USILE, UUGUE UFE no one cares. Acheni makelele angalieni mbinu mbadala za kujikwamua kimaisha.

Sitarajii great thinker yeyote kupoteza muda na mabandiko yeynye hoja nyepesi kama haya. Kwani ukiishia kusoma tu ideas za wengine kuna ubaya? Siyo kila anayeingia JF lazima aanzishe thread.So boring!!

Kati yako na Flora nani mkubwa?

Naona wewe unatema pumba tu.. bora Flora ana akili kidogo!

watoto wa Papaa Msoffe mnanisikitisha sana!

HAHAHA REJAO BANA PAPA MUSOFE MUTOTO YA KIMUJINIMUJINI,NI MAGAMBA NA MWZI MWENZENU NDO ALIEIWEKA SIRIKALI YOOOTE KWENYE MIFUKO YA NYUMA(MAKALIONI) NA SIRIKALI YAFAHAM HILO,INASHRIKIANA NAE KUKWAPUA VWANJA HUKO MBEZ BEACH,ENDELEA KUGONGWA NA MBU KWENYE STK UTAPEWA USED V8 UKIWA UNASTAAFU! PEOPLEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE

ulitaka tuunge mkono upuuzi wako unaoleta hapa jf? Matatizo ya umeme, mafuta, mauaji ya raia, wizi wa mabilioni nani kaleta km magamba?? Cc 2najivnia sn cdm kwa sbb 1. Cdm imeweza kudhibiti wizi wa ccm wa mil. 16 pe month walizokua wanampa mkurugemzi wa manispaa kwa kisingizio ni za kununu maandazi 2. Kati ya hz mil 16 wamemuachia mkurugenzi mil. 4 tu ya mandazi mil.12 znatumika kuwasomesha wanafunzi wt wa secondary wazaz hawatoi ht 10 3. Maendeleo makubwa ya mji wetu nk. CHADEMA NI MKOMBOZI WA WANYONGE
TRA kuanzia mwaka huu itakuwa inachukua 2.2 million kama kodi kutokana na mshahara wa 7.4 million wa Askofu na Dk of Cannon Law, Wilbros Slaa! kwa miezi 12 ni sh. mil 26.64!
Hapa Uone ni kwa jinsi gani CDM wanavyoiibia serikali!

Ni mara nyingi huwa nasikia makelele kuhusu matatizo mengi yanayotukabili from hicho chama ila sijawai kuona wamefanya action yoyote kama ni shida watu wanaendelea kupata shida.

Hivi kuna mtu anaeweza kusema cdm imemsaidia nini yaani imemtoa sehemu flani kwenda sehemu flani? Tukubali watanzania kila mtu anaishi kwa akili na juhudi zake mwenyewe hamna cha chama kitukufu wala cha CHADEMA hapa,ULE ,USILE, UUGUE UFE no one cares. Acheni makelele angalieni mbinu mbadala za kujikwamua kimaisha.
Join Date : 18th July 2011
Posts : 423
Rep Power : 21

wakati wa uchaguzi mkuu wa rais mimi sikuwepo tanzania, kumbe nusu ya waliojiandikisha kupiga kura hawakujotokeza kupiga kura!
Sasa mbona mgombea wa cdm a loser dr slaa, anasema alishinda wakati mashabiki wake walikuwa vijiweni wakati magamba wanakwenda kupiga kura
hata mimi nawashangaa

TRA kuanzia mwaka huu itakuwa inachukua 2.2 million kama kodi kutokana na mshahara wa 7.4 million wa Askofu na Dk of Cannon Law, Wilbros Slaa! kwa miezi 12 ni sh. mil 26.64!

Hapa Uone ni kwa jinsi gani CDM wanavyoiibia serikali!

KWANI TRA WALIKUWA WAPI MPAKA MTU ANAIBA , IT SEEMS WALIKUWA BUSY PALE BREAKPOINT KULA VYWA WATU NA KUGOMA KULIPA,ETI WANATAKA RCT ZA TRA, YAAN SERIALI YA CCM IMEKAA KIWIZIWIZI TUU, NAONA WAMEPEWA FUNGU KUILEGEZA CDM ILA BEWARE

sitarajii great thinker yeyote kupoteza muda na mabandiko yeynye hoja nyepesi kama haya. Kwani ukiishia kusoma tu ideas za wengine kuna ubaya? Siyo kila anayeingia jf lazima aanzishe thread.so boring!!
unabooa sana wewe huna mawazo kalime huko

Back
Top Bottom