Chadema bwana wananikosha..

nziriye

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
1,050
361
Wapendwa habari zenu ,nimefurahishwa sana na kauli ya mh.mbowe akimjibu nyani.wasira ,yani nimegundua viongozi wa cdm ni ma-great thinker,philosopherz,brilliant yani i dont know niwape sifa gani,nyani alitegemea kuwa cdm wangepoteza muda wao kumjibu utumbo wake ,lakini mh.mbowe akasema wao cdm -hawaongei na mbwa ila wanaongea na mfuga mbwa,hivi ungekuwa weye kama ndo wasira ungejisikiaje?
 
I would feel bad, akafie mbele wassira anajipendekeza kwa mkwere kwanza wizara yake haina umuhimu wowote kabebwa tu na mkwere
 
Kilichokufurahi ni nini?

Wassira ni mbunge, ni mwananchi na ni mwakilishi wa wananchi. Kudharau hoja za Wassira ni kudharau hoja za watu anaowawakilisha.

Kama huo ndio u great thinker, endeleeni hivyohivyo lakini mjue mnapoteza credibility day after day.
 
So far CDM haijapoteza kredibilite hata moja, na si rahisi kwa sasa kutokana na jinsi ilivyoweza kuvutia wananchi kutokana na sera zake, asilimia kubwa ya watz imetokea kuhamishia matumaini yao kwa cdm.

Ila nakubaliana na wewe kwenye matumizi ya lugha, sikupenda mtoa mada alivyotumia neno 'nyani'
 
Mkuu usiogope kuona neno nyani kwani hujui kuwa binadamu wanafanana na nyani kwa asilimia 99 of d.n.a composition au?so originally man-nyani,ni hivi nimekuwa happy kwa cdm kwani wanafanya maandamano so as to alert people and make them aware that lets be care maisha si maisha, n.k n.k,sasa wasira ameitwa kuongelea mengine anajilazimisha kupeleka mada ktk maandamano ya cdm ,kwani ndo alichotumwa na watu wake akafwatilie maandamano hayo au ni kulipa fadhira kwa mkwere,ametoa misuli anaropoka ,lol ..aibu jamani kweli inabidi kuwa na vyuo vya kuandaa wabunge mentally,physically as well as pointically that will make people like wasira to have self discpline.
 
Back
Top Bottom