chadema beyond 2015

SPANERBOY UDZUNGWA

JF-Expert Member
Jun 20, 2012
622
124
uchumi utakuwa kwa kasi, maisha yatakuwa bora kwa kila mtanzania i.e watu watakuwa na uwezo wa kula kuku kila siku , shehe ponda atatupwa jela, cardinal pengo kuwa waziri mkuu, walimu kulipwa milioni tatu kwa mwezi, fly overs kujengwa mpaka vijijini, train mpya ya kisasa ya umeme ya kisasa toka dsm mpaka mwanza, KIHAYA KUWA LUGHA YA TAIFA , Muungano kuvunjika rasmi na wapemba wote kunyanganywa vijiduka vyao,
 
Back
Top Bottom