CHADEMA: Bajeti itapita kwa kishindo

nenda kazibe kama unaweza!

Tuonesheni ambae si dhaifu yupi wa kabla yake aliyefanya la maendeleo zaidi ya huyu mnaesema ni dhaifu.

Nakuhakikishia hamuwezi, roho zinawauma kwa kuwa tu, pale mliposhindwa nyinyi kwa miaka 24 mfululizo, yeye anapafanya kiurahiiiiisi kabisa.

Nyinyi kafanyeni maandamano kwenye barabara za lami alizo/anazo jenga kikwete. - magufuli, jangwani.

zoooba zooooobaaah...
Zooombaaaaa jipange.. Acha kuongea mashudu....aliyekupa safari ya u.s.a ni dhaifu na wewe ni dhaifu part2
 
Back
Top Bottom