CHADEMA bado mno Kupambana na CCM

kweli vyama uvielewi,una chama sawa,lakini na ww pia ujielewi,umepoteza dira ujui mbele ni wapi na nyuma ni wapi,nchi hii ina vyama zaidi ya 17 ila ww mbaya wako ni chadema tu?bahati mbaya ata hiyo tread yako aijakaa sawa ni vizuri nawe pia ufanye utafiti kabla ya kuleta pumba zako
ndugu inabidi ukajifunze kuandika au lugha, hebu soma hilo jibu lako, naona ndilo ambalo halina kichwa wala miguu.
 
Chukulia mfano: watu 20 mnamfukuza mwizi, mmoja wenu ana mbio na uwezo wa kumkamata yule mwizi lakin kila akikaribia kumkamata mwizi anapunguza mwendo badala yake anazidisha kelele mwizi, mwizi, mwizi...! Katika hali hiyo ni rahisi kuhisi kuwa huyo na anayemfukuza mwizi na yule mwizi mwenyewe lao moja!

nielweshe zaidi,cjakupata kabisa
 
CCM KUIKABIZI NCHI CHADEMA mwaka 2015 ni sawa na Mzee mlevi kutaka kumkabidhi uongozi wa familia kijana anayeanza kubalehe.

CCM ni mzee mlevi, mwizi na kajichokea na CDM ni kijana anayebalehe

Ni kweli Tanzania inahitaji mabidiliko makubwa ya kisiasa na uchumi ambayo yanaitaji mabadiliko makubwa yanayoitaji kung'olewa kwa mfumo wote yani chama tawala na vingozi wake wote hata kama wakiama chama. Lakini jinsi Chadema wanavyoreact dhidi ya Hujuma kutoka CCM Hakika wasitegemee kujijenga au kuongeza wafuasi ila ni kukosa kura za wanawake na wazee waoga.

Chadema pambaneni kwa upole toweni elimu ya uraia kwa njia mbalimbali watu wajue mnachopigania. Ongezeni mbinu za kujieneza. Tena ujumbe umfikie mtu alipo kwa upole. Wizi kwenye miradi, madeni ya taifa mfumo wa kodi na rushwa. Mikataba mibovu ndio turufu za chadema. Kwa kutoa Majarida na magazeti na ukurasa wa kati kuchapishwa kama vipeperushi vyenye maelezo mazuri machache na picha nzuri za rangi za mikutano ya Chadema. Kuonesha uongozi wa chadema Bara na Visiwani na kukomesha propaganda za udini Zinazokidumaza Chama chenu mikoa ya Pwani kuwa si za kweli.

Kuwajibu kwa ukali au Kumchukia wana CCM humu Jf au mtaani haisaidii kubadili fikra zao duni zaidi ya kuendeleza chuki kati yetu watawaliwa uoneshe unawapenda wao unaheshimu mitazamo na akili zao na waelimishe kwa upole ata akibadilika awe ni msaada kwa chama nyie ishie kuwatukana humu eti waame vyama kwa kuogopa kutukanwa.

Watu wasioijua Chadema ni haki yao kuichukia.

Mwanafalsafa "Emmanuel Joseph" wa Israel mwaka 0031 alisema Mpende Adui yako. Kuönesha unamchukia uku anataka kuungana nawe ni kazi.

Tunaomba muandae CD , majarida magazeti.
Muwadokeze watu historia za tawala kandamizi na zilivyoondolewa.
MFano french Revolution, Chartizim uingereza na Marekan harakati za wakulima wakusini waliopuuzwa dhidi ya wenye viwanda wa kaskazini.
Naamini tayari kunamov
zinazoonesha harakati hizo hadi kukua kwa democrasia kwenye nchi hizo huku mkihusisha tawala hizo na utawala huu na kuonesha harakati za wanyonge zinavyofanana na hizi za chadema za sasaivi.
ANDAEN CD BAC muziuze bukubuku tu na muhakikishe kuwa harakati za sasa ni mabadiliko kwa njia ya Amani. Masikini tupendane na tushirikiane hata kama tunatofautiana itikadi na kutopambana

Lazima muwe na vipindi kwenye TV NA redio vilivyosanifiwa vizuri vya kutoa elimu ya uraia na malengo yenu na kuacha kuwa watu wa kutupiana tuhuma kila siku na akina Mwigulu
mtikila na Mbatia na CUF NA KUONEKANA KAMA WATU WA KUGOMBANA NA KILA MTU.

MNAONEWA SANA RAKINI KUMBUKA HASIRA ZA MKIZI.

Kuna watu kama Jonas Savimbi na Akina Gadafi hawakuwa sawa lakini waliaminiwa sana na watu. Mfano mpaka leo Chama Cha UNITA. Kina wabunge wengi na Kinaaminiwa sana Angola ingawa kilitajwa kama kundi la kigaidi na Umoja wa mataifa. Kwahiyo si ajabu kwa CCM KUWA NA WAPENZI WENGI ZAIDI TANZANIA.
Na kubadili hili na busara ya hali ya juu inaitajika na kiburi, visasi na hasira haviitajiki kabisa.

Mfano Mandela, S. Biko na wanamziki wa S A kama Lucky Dube, Sarafina Ingawa wazungu waliwatesa na kuwabagua wao hawakuubiri visasi au chuki dhidi yao bali waliubiri kupinga ubaguzi Dhidi yao
na kusema watu watu wote ni sawa tupendane na kuheshimiana. Kwa siasa za Chuki na kutambiana kuujumiana kati ya Chadema na Vyama vya CUF NA CCM Ndipo napoiona chadema kama kijana anayebalehe.

"Wanaosema kuwa Chadema ni mpango wa Mungu hawajui Walisemalo wamepotoka labda kama ni mpango wa Mungu wao na si yule moja tunayemjua.

Safari bado ndefu kuelekea Democrasia ya kweli na Chadema kitusaidie kufikia huko
 
CCM KUIKABIZI NCHI CHADEMA mwaka 2015 ni sawa na Mzee mlevi kutaka kumkabidhi uongozi wa familia kijana anayeanza kubalehe.

Ni kweli Tanzania inahitaji mabidiliko makubwa ya kisiasa na uchumi ambayo yanaitaji mabadiliko makubwa yanayoitaji kung'olewa kwa mfumo wote yani chama tawala na vingozi wake wote hata kama wakiama chama. Lakini jinsi Chadema wanavyoreact dhidi ya Hujuma kutoka CCM Hakika wasitegemee kujijenga au kuongeza wafuasi ila ni kukosa kura za wanawake na wazee waoga.

Chadema pambaneni kwa upole toweni elimu ya uraia kwa njia mbalimbali watu wajue mnachopigania. Ongezeni mbinu za kujieneza. Tena ujumbe umfikie mtu alipo kwa upole. Wizi kwenye miradi, madeni ya taifa mfumo wa kodi na rushwa. Mikataba mibovu ndio turufu za chadema. Kwa kutoa Majarida na magazeti na ukurasa wa kati kuchapishwa kama vipeperushi vyenye maelezo mazuri machache na picha nzuri za rangi za mikutano ya Chadema. Kuonesha uongozi wa chadema Bara na Visiwani na kukomesha propaganda za udini Zinazokidumaza Chama chenu mikoa ya Pwani kuwa si za kweli.
Lazima muwe na vipindi kwenye TV NA redio vilivyosanifiwa vizuri vya kutoa elimu ya uraia na malengo yenu na kuacha kuwa watu wa kutupiana tuhuma kila siku na akina Mwigulu
mtikila na Mbatia na CUF NA KUONEKANA KAMA WATU WA KUGOMBANA NA KILA MTU.

MNAONEWA SANA RAKINI KUMBUKA HASIRA ZA MKIZI.

Kuna watu kama Jonas Savimbi na Akina Gadafi hawakuwa sawa lakini waliaminiwa sana na watu. Mfano mpaka leo Chama Cha UNITA. Kina wabunge wengi na Kinaaminiwa sana Angola ingawa kilitajwa kama kundi la kigaidi na Umoja wa mataifa. Kwahiyo si ajabu kwa CCM KUWA NA WAPENZI WENGI ZAIDI TANZANIA.
Na kubadili hili na busara ya hali ya juu inaitajika na kiburi, visasi na hasira haviitajiki kabisa.

Mfano Mandela, S. Biko na wanamziki wa S A kama Lucky Dube, Sarafina Ingawa wazungu waliwatesa na kuwabagua wao hawakuubiri visasi au chuki dhidi yao bali waliubiri kupinga ubaguzi Dhidi yao
na kusema watu watu wote ni sawa tupendane na kuheshimiana. Kwa siasa za Chuki na kutambiana kuujumiana kati ya Chadema na Vyama vya CUF NA CCM Ndipo napoiona chadema kama kijana anayebalehe.

"Wanaosema kuwa Chadema ni mpango wa Mungu hawajui Walisemalo wamepotoka labda kama ni mpango wa Mungu wao na si yule moja tunayemjua.

Safari bado ndefu kuelekea Democrasia ya kweli na Chadema kitusaidie kufikia huko

Enyi mafisadi, mtambue kuwa mwisho wenu ni sasa. endeleeni kujisifia na kujifariji eti bado kuchukua nchi. Tembea uone namna watu walivyobadilika
 
Baada ya leo kiambiwa mkanda wenu mliofanya soweto upo leo humu jf kimyaaaaaaaaaaaaa
 
Hua watu wanaota wanaibiwa au wanakata gogo na ukijakushtuka unakuta ni kweli......ndoto hizi Tu, endeleeni kuzipuuza Tu.
 
MACCM lazima yang;oke tuu hatuwezi kufanya ikulu pango la majambazi wezi,waporaji na wadhulumaji lazima wang'oke tu
 
CCM KUIKABIZI NCHI CHADEMA mwaka 2015 ni sawa na Mzee mlevi kutaka kumkabidhi uongozi wa familia kijana anayeanza kubalehe.

Ni kweli Tanzania inahitaji mabidiliko makubwa ya kisiasa na uchumi ambayo yanaitaji mabadiliko makubwa yanayoitaji kung'olewa kwa mfumo wote yani chama tawala na vingozi wake wote hata kama wakiama chama. Lakini jinsi Chadema wanavyoreact dhidi ya Hujuma kutoka CCM Hakika wasitegemee kujijenga au kuongeza wafuasi ila ni kukosa kura za wanawake na wazee waoga.

Chadema pambaneni kwa upole toweni elimu ya uraia kwa njia mbalimbali watu wajue mnachopigania. Ongezeni mbinu za kujieneza. Tena ujumbe umfikie mtu alipo kwa upole. Wizi kwenye miradi, madeni ya taifa mfumo wa kodi na rushwa. Mikataba mibovu ndio turufu za chadema. Kwa kutoa Majarida na magazeti na ukurasa wa kati kuchapishwa kama vipeperushi vyenye maelezo mazuri machache na picha nzuri za rangi za mikutano ya Chadema. Kuonesha uongozi wa chadema Bara na Visiwani na kukomesha propaganda za udini Zinazokidumaza Chama chenu mikoa ya Pwani kuwa si za kweli.
Lazima muwe na vipindi kwenye TV NA redio vilivyosanifiwa vizuri vya kutoa elimu ya uraia na malengo yenu na kuacha kuwa watu wa kutupiana tuhuma kila siku na akina Mwigulu
mtikila na Mbatia na CUF NA KUONEKANA KAMA WATU WA KUGOMBANA NA KILA MTU.

MNAONEWA SANA RAKINI KUMBUKA HASIRA ZA MKIZI.

Kuna watu kama Jonas Savimbi na Akina Gadafi hawakuwa sawa lakini waliaminiwa sana na watu. Mfano mpaka leo Chama Cha UNITA. Kina wabunge wengi na Kinaaminiwa sana Angola ingawa kilitajwa kama kundi la kigaidi na Umoja wa mataifa. Kwahiyo si ajabu kwa CCM KUWA NA WAPENZI WENGI ZAIDI TANZANIA.
Na kubadili hili na busara ya hali ya juu inaitajika na kiburi, visasi na hasira haviitajiki kabisa.

Mfano Mandela, S. Biko na wanamziki wa S A kama Lucky Dube, Sarafina Ingawa wazungu waliwatesa na kuwabagua wao hawakuubiri visasi au chuki dhidi yao bali waliubiri kupinga ubaguzi Dhidi yao
na kusema watu watu wote ni sawa tupendane na kuheshimiana. Kwa siasa za Chuki na kutambiana kuujumiana kati ya Chadema na Vyama vya CUF NA CCM Ndipo napoiona chadema kama kijana anayebalehe.

"Wanaosema kuwa Chadema ni mpango wa Mungu hawajui Walisemalo wamepotoka labda kama ni mpango wa Mungu wao na si yule moja tunayemjua.

Safari bado ndefu kuelekea Democrasia ya kweli na Chadema kitusaidie kufikia huko

huu ndo ukweli na ukiwaambia chadema wanaleta ushabiki. Chadema kuiongoza Tanzania bado sanaa!
 
bwana kaka hujanielewewa CHADEMA lazima kibuni mbinu ya kupata kura za akinamama na wazee

Kuhusu kura za akina mama na wazee ..... dola inauwezo wa kuwateka kirahisi... kuna majimbo ambayo CHADEMA imeshinda ni majimbo yaliyo na wanawake wasomi zaidi na wazee wenye kuelewa zaidi....CCM inashinda vijijini zaidi kirahisi sana kusiko na uelewa mkubwa au kuliko na uduni wa elimu na kuiba saaana kura mijini ambako dola hutumika kuingilia ukuaji wa democrasia halisi...changamoto iliyopo ni jinsi ya kuihimili dola kutekeleza majukumu yake inavyotakiwa, ktk kiliweka sawa hili ndipo hisia za upambanaji zinaibuka kwani ktk hali halisi dola haihusiki zaidi ya kusimamia misingi ya democrasia na katiba na si kusimamia chama kilichopo madarakani jambo ambalo kwa bahati mbaya wanawake na wazee huamini ndiyo sahihi ... kundi hili ni kubwa lakini ni kundi lisilo na uthubutu wa kuanzisha harakati mpya za mapinduzi ya maendeleo na democrasia ya kweli mfano angalia Africa nzima kinara wa mapambano ya aina hii mwanamke ni Winny Mandela peke yake ... na bado hata yeye alijikuta yumo ktk harakati kwakuwa mumewe ni mwanasiasa...ukianza kuliangalia kundi hili ili likusaidie ndio huo usemi wako kuwa "bado ni safari ndefi" utatimia
 
Ila mi ninachokiamini ni kuwa hatma ya nani atashika dola haipo katika majadiliano hapa Jf,bali ni namna gani wananchi watashawishiwa kujiandikisha na hatimaye kupiga kura . Mengine ni porojo tu...
 
CCM KUIKABIZI NCHI CHADEMA mwaka 2015 ni sawa na Mzee mlevi kutaka kumkabidhi uongozi wa familia kijana anayeanza kubalehe.

Ni kweli Tanzania inahitaji mabidiliko makubwa ya kisiasa na uchumi ambayo yanaitaji mabadiliko makubwa yanayoitaji kung'olewa kwa mfumo wote yani chama tawala na vingozi wake wote hata kama wakiama chama. Lakini jinsi Chadema wanavyoreact dhidi ya Hujuma kutoka CCM Hakika wasitegemee kujijenga au kuongeza wafuasi ila ni kukosa kura za wanawake na wazee waoga.

Chadema pambaneni kwa upole toweni elimu ya uraia kwa njia mbalimbali watu wajue mnachopigania. Ongezeni mbinu za kujieneza. Tena ujumbe umfikie mtu alipo kwa upole. Wizi kwenye miradi, madeni ya taifa mfumo wa kodi na rushwa. Mikataba mibovu ndio turufu za chadema. Kwa kutoa Majarida na magazeti na ukurasa wa kati kuchapishwa kama vipeperushi vyenye maelezo mazuri machache na picha nzuri za rangi za mikutano ya Chadema. Kuonesha uongozi wa chadema Bara na Visiwani na kukomesha propaganda za udini Zinazokidumaza Chama chenu mikoa ya Pwani kuwa si za kweli.
Lazima muwe na vipindi kwenye TV NA redio vilivyosanifiwa vizuri vya kutoa elimu ya uraia na malengo yenu na kuacha kuwa watu wa kutupiana tuhuma kila siku na akina Mwigulu
mtikila na Mbatia na CUF NA KUONEKANA KAMA WATU WA KUGOMBANA NA KILA MTU.

MNAONEWA SANA RAKINI KUMBUKA HASIRA ZA MKIZI.

Kuna watu kama Jonas Savimbi na Akina Gadafi hawakuwa sawa lakini waliaminiwa sana na watu. Mfano mpaka leo Chama Cha UNITA. Kina wabunge wengi na Kinaaminiwa sana Angola ingawa kilitajwa kama kundi la kigaidi na Umoja wa mataifa. Kwahiyo si ajabu kwa CCM KUWA NA WAPENZI WENGI ZAIDI TANZANIA.
Na kubadili hili na busara ya hali ya juu inaitajika na kiburi, visasi na hasira haviitajiki kabisa.

Mfano Mandela, S. Biko na wanamziki wa S A kama Lucky Dube, Sarafina Ingawa wazungu waliwatesa na kuwabagua wao hawakuubiri visasi au chuki dhidi yao bali waliubiri kupinga ubaguzi Dhidi yao
na kusema watu watu wote ni sawa tupendane na kuheshimiana. Kwa siasa za Chuki na kutambiana kuujumiana kati ya Chadema na Vyama vya CUF NA CCM Ndipo napoiona chadema kama kijana anayebalehe.

"Wanaosema kuwa Chadema ni mpango wa Mungu hawajui Walisemalo wamepotoka labda kama ni mpango wa Mungu wao na si yule moja tunayemjua.

Safari bado ndefu kuelekea Democrasia ya kweli na Chadema kitusaidie kufikia huko

nakubaliana na ushauri wako kwa wanachadema ila napinga na kauli yako ya bado sana kwa kuwa wananchi walio wengi kutokana na hali mbaya ya maisha wameamua ivi NI HERI UPATE MATESO KWA SASA/ NI BORA VURUGU ZA CDM KULIKO HALI MBAYA INAYOSABABISHWA NA MAFISADI
 
Umejaribu kuandika ukweli mdogo sana lakini umeupamba na uongo mwingi sana na hivyo umeharibu kila kitu katika hoja yako.

Kwa mfano:
1/Ni kweli kuna haja ya CHADEMA kujieneza kwa njia mbali mbali lakini si kweli kuwa wanachokifanya CHADEMA kwa sasa hakina Faida. Why? Matunda yake yanaonekana wazi wazi tena sasa na wakati huo huo CCM wanahaha usiku na mchana tena bila mafanikio kutaka kuithibiti CHADEMA lakini wapi. Too late!!!

2/Mpaka sasa sijaona watu ndani ya CCM wenye uwezo wa kupambana na hoja za CHADEMA. Secretarieti mpya ya CCM ya sasa ambayo ndio timu ya CCM 2015 ina watu dhaifu sana kisiasa(Wachovu, wachafu, waoga, wapuuzi), kwa mfano watu kama Kinana, Mwigulu, Migiro, Nape, Khatibu, Meghji, Mangula, Kikwete nk. Ni nani katika hao ana ubavu na uhalali wa kwenda kuwaambia wananchi waendelee kuiamini CCM?

3/Si kweli hata kidogo kuwa wananchi hawatakuwa na Imani na CHADEMA 2015.
Ni juzi tu uchaguzi wa kata 22 za udiwani umefanyika, kampeni zake na matokeo yake yanaweza kutumika kama 'Pilot Study' ya 2015, swali kwanini CHADEMA wamekuwa na matokeo mazuri ya kiujumla kama hawaaminiwi na watanzania?

4/Japokuwa ni kweli kuna haja ya CHADEMA kutafuta uungwaji mkono kutoka kwa wakina mama na wazee, Why? Ni wapiga kura wazuri sana kwenye uchaguzi.
Lakini bado ukweli unabaki pale pale kuwa uchaguzi mkuu 2015 utaamuliwa na vijana. Why? Ndio waliokuwa wengi katika jamii na hivyo ndio wenye uchawishi mkubwa. But good thing kwa CHADEMA ni kwamba vijana wengi ni wapenzi wakubwa sana wa CHADEMA.
 
huu ndo ukweli na ukiwaambia chadema wanaleta ushabiki. Chadema kuiongoza Tanzania bado sanaa!

Wachangiaji wengi wa JF ambao wanabeza CDM hua ni watu hoi sana ktk kujenga hoja na ufahamu wa mambo.... Hivi chama kilichopo madarakani Kenya kilikua na utayari lini? au vyama tofauti tofauti nchini Ghana vinawezaje kuongoza nchi yenye uchumi mkubwa km Ghana?

Au hata Mandela na ANC waliwezaje kuongoza nchi .... ? kabla ya kuchaguliwa Mandela ANC haikua hata na Mbunge mmoja....Au kwako wewe ukongwe wa chama ndio uongozi sahihi? TANU haikua kongwe ilipopokea madaraka Tanganyika au ASP ktk mapinduzi ya Zanzibar
 
Kuhusu kura za akina mama na wazee ..... dola inauwezo wa kuwateka kirahisi... kuna majimbo ambayo CHADEMA imeshinda ni majimbo yaliyo na wanawake wasomi zaidi na wazee wenye kuelewa zaidi....CCM inashinda vijijini zaidi kirahisi sana kusiko na uelewa mkubwa au kuliko na uduni wa elimu na kuiba saaana kura mijini ambako dola hutumika kuingilia ukuaji wa democrasia halisi...changamoto iliyopo ni jinsi ya kuihimili dola kutekeleza majukumu yake inavyotakiwa, ktk kiliweka sawa hili ndipo hisia za upambanaji zinaibuka kwani ktk hali halisi dola haihusiki zaidi ya kusimamia misingi ya democrasia na katiba na si kusimamia chama kilichopo madarakani jambo ambalo kwa bahati mbaya wanawake na wazee huamini ndiyo sahihi ... kundi hili ni kubwa lakini ni kundi lisilo na uthubutu wa kuanzisha harakati mpya za mapinduzi ya maendeleo na democrasia ya kweli mfano angalia Africa nzima kinara wa mapambano ya aina hii mwanamke ni Winny Mandela peke yake ... na bado hata yeye alijikuta yumo ktk harakati kwakuwa mumewe ni mwanasiasa...ukianza kuliangalia kundi hili ili likusaidie ndio huo usemi wako kuwa "bado ni safari ndefi" utatimia

kunawanawake wengi tu Tanzania wanamageuzi ambao wakitumika kuwaelimisha wanawake wenzao kama akina Halima Mdee
Ana Komu , Retisia Nyerere na wengine wengi kwa njia mbalimbali kama nilivyoonesha awali chadema lazima ijue ni Robo tu ya watu ndio wanaouzuria mikutano ya hadhara.

Sasa tv, redio, Cd, majarida na Magazeti, vipeperushi ni njia ya kupelekea elimu mtu alipo.
 
Back
Top Bottom