Chadema badilikeni!

CHADEMA kimezidi kujikaanga na kupoteza mvuto miongoni mwa wananchi tulio makini katika siasa za TZ. Hiki chama kipo mstari wa mbele kupingamana na mamlaka za nchi. Hiki chama kimejingengea umaarufu siku za karibuni kuwa vinara wa VURUGU kila kunapokuwa na mikusanyiko yao.

Hizi ni dalili mbaya kwa chama cha siasa chenye nia ya kushika dola, pia ni ishara tosha ya kutokuwa na uongozi wa kitaasisi ndani ya chama. CHADEMA imedhihirika ni genge la wapiga porojo kupitia majukwaa ya siasa wakiwa ni vinara vya kuchochea misuguano miongoni mwa wananchi wakiwa na lengo la KUHAKIKISHA NCHI haitawaliki!

Hitimisho wananchi tukae chonjo na CHADEMA kwa vile hawana nia nzuri na nchi yetu

Ni wewe pekee ndiye mwenye nia nzuri na nchi yetu (Mafisadi). Endelea kutumia tumbo kufikiri.
 
CHADEMA kimezidi kujikaanga na kupoteza mvuto miongoni mwa wananchi tulio makini katika siasa za TZ. Hiki chama kipo mstari wa mbele kupingamana na mamlaka za nchi. Hiki chama kimejingengea umaarufu siku za karibuni kuwa vinara wa VURUGU kila kunapokuwa na mikusanyiko yao.

Hizi ni dalili mbaya kwa chama cha siasa chenye nia ya kushika dola, pia ni ishara tosha ya kutokuwa na uongozi wa kitaasisi ndani ya chama. CHADEMA imedhihirika ni genge la wapiga porojo kupitia majukwaa ya siasa wakiwa ni vinara vya kuchochea misuguano miongoni mwa wananchi wakiwa na lengo la KUHAKIKISHA NCHI haitawaliki!

Hitimisho wananchi tukae chonjo na CHADEMA kwa vile hawana nia nzuri na nchi yetu

Mkuu hivi unatumia dozi gani ya ugonjwa wako wa pepopunda?
 
Mbona kama ni porojo tuu CCM nao wasingezishindwa.Pengine hujapenda elewa CDM ipo hatua kibao mbele ya CCM.So nadhani ungesema vyema kama ungesema kasi yao ya ukuaji na uwezo wao wa kufanya vitu huku wakiwa wapinzani haujaweza imagine .Pengine ingekuwa fair analysis.Ila kuongea kijuju tuu na kuhitimisha kama hivi ni upofu,ambao upo karibukwa kila mwanaCCM asiyekuwa na muda wa kusikiliza habari na kuelewa yote yanayofanyika na CDM katika siasa za nchi.

Propaganda za CCM mbona zinawaloga wanaCCM zaidi ya wengine?
 
Yaani mtoa mada hii umenichekesha sana, muono wako juu ya CHADEMA siyo sahihi, kwani wanaoleta vurugu kwenye mikusanyiko ya chadema ni nani kama sio police wa ccm? Acha unazi ndugu nchi hii ipo katika hali mbaya inayo sababishwa na ccm.Hivyo toa mawazo ya msingi kuikomboa nchi toka kwa manyang'au na sio kuleta hoja zisizo na mantiki.
 
...Akili magamba kazini....Propaganda zenu hazitafua dafu mbele ya CDM...Watanzania wengi tumeshaustukia upumbavu wenu unaoweza kusababisha umwagaji damu mkubwa nchini.

CHADEMA kimezidi kujikaanga na kupoteza mvuto miongoni mwa wananchi tulio makini katika siasa za TZ. Hiki chama kipo mstari wa mbele kupingamana na mamlaka za nchi. Hiki chama kimejingengea umaarufu siku za karibuni kuwa vinara wa VURUGU kila kunapokuwa na mikusanyiko yao.

Hizi ni dalili mbaya kwa chama cha siasa chenye nia ya kushika dola, pia ni ishara tosha ya kutokuwa na uongozi wa kitaasisi ndani ya chama. CHADEMA imedhihirika ni genge la wapiga porojo kupitia majukwaa ya siasa wakiwa ni vinara vya kuchochea misuguano miongoni mwa wananchi wakiwa na lengo la KUHAKIKISHA NCHI haitawaliki!

Hitimisho wananchi tukae chonjo na CHADEMA kwa vile hawana nia nzuri na nchi yetu
 
Kawaambie wananchi, sie wenzio tmesoma, tuna macho yanaona. Wala usijisumbue humu.
 
CHADEMA kimezidi kujikaanga na kupoteza mvuto miongoni mwa wananchi tulio makini katika siasa za TZ. Hiki chama kipo mstari wa mbele kupingamana na mamlaka za nchi. Hiki chama kimejingengea umaarufu siku za karibuni kuwa vinara wa VURUGU kila kunapokuwa na mikusanyiko yao.

Hizi ni dalili mbaya kwa chama cha siasa chenye nia ya kushika dola, pia ni ishara tosha ya kutokuwa na uongozi wa kitaasisi ndani ya chama. CHADEMA imedhihirika ni genge la wapiga porojo kupitia majukwaa ya siasa wakiwa ni vinara vya kuchochea misuguano miongoni mwa wananchi wakiwa na lengo la KUHAKIKISHA NCHI haitawaliki!

Hitimisho wananchi tukae chonjo na CHADEMA kwa vile hawana nia nzuri na nchi yetu
Inatia huruma kweli. Kwa mwenye akili kidogo bila za mbayuway hahitaji kuelezwa huu uzandiki hapa.
 
Hivi unaongelea cdm ya nchi gani wewe? Sidhani kama uumwi!

CHADEMA kimezidi kujikaanga na kupoteza mvuto miongoni mwa wananchi tulio makini katika siasa za TZ. Hiki chama kipo mstari wa mbele kupingamana na mamlaka za nchi. Hiki chama kimejingengea umaarufu siku za karibuni kuwa vinara wa VURUGU kila kunapokuwa na mikusanyiko yao.

Hizi ni dalili mbaya kwa chama cha siasa chenye nia ya kushika dola, pia ni ishara tosha ya kutokuwa na uongozi wa kitaasisi ndani ya chama. CHADEMA imedhihirika ni genge la wapiga porojo kupitia majukwaa ya siasa wakiwa ni vinara vya kuchochea misuguano miongoni mwa wananchi wakiwa na lengo la KUHAKIKISHA NCHI haitawaliki!

Hitimisho wananchi tukae chonjo na CHADEMA kwa vile hawana nia nzuri na nchi yetu
 
Ukiona vibaraka wa CDM wanamshambulia mtoa mada na sio mada yenyewe basi ujue wameshikwa pabaya.
 
Wafuasi na wanachama wa CHADEMA wanapenda kusifiwa badala ya kuambiwa ukweli. Kwetu sisi, TUTASEMA KWELI DAIMA

Ukweli gani huo ambao unaosema wewe kilaza,mbona jana amkuwapiga mabomu ya machozi na virungu wahandamanaji wa kiislam waliohandamana bila kibali?imedhihirika kuwa polisi mnawatumia vibaya,badala ya kulinda usalama wa raia na mali zao mnawaua raia wasiokuwa na hatia kuhofia nguvu ya umma,mwisho utafika mbivu na mbichi zitajulikana,mafisadi wakubwa nyie
 
CHADEMA kimezidi kujikaanga na kupoteza mvuto miongoni mwa wananchi tulio makini katika siasa za TZ. Hiki chama kipo mstari wa mbele kupingamana na mamlaka za nchi. Hiki chama kimejingengea umaarufu siku za karibuni kuwa vinara wa VURUGU kila kunapokuwa na mikusanyiko yao.

Hizi ni dalili mbaya kwa chama cha siasa chenye nia ya kushika dola, pia ni ishara tosha ya kutokuwa na uongozi wa kitaasisi ndani ya chama. CHADEMA imedhihirika ni genge la wapiga porojo kupitia majukwaa ya siasa wakiwa ni vinara vya kuchochea misuguano miongoni mwa wananchi wakiwa na lengo la KUHAKIKISHA NCHI haitawaliki!

Hitimisho wananchi tukae chonjo na CHADEMA kwa vile hawana nia nzuri na nchi yetu

kwa kuwa cdm wanaleta vurugu nchini kwa harakati zao, unashauri nini kifanyike. Wakae kimya? Waendeshe vipi harakati zao? Mbinu mbadala toka kwako zitakuwa na manufaa sana
 
Kabla ya yote anzeni kufuta hii tabia yenu ya udini na ukabila halafu mpumzisheni mzee Slaa, mbowe na Zitto wanauwezo mzuri zaidi kuendeleza chama. Uvumilivu na busara za Slaa zimepotea zote, amekua mzee wa lolote na liwe.
 
haya kimbia haraka sana pale rumumba utaambulia japo ka elfu mbili kakusindikizie haka kaweekend ..........
 
Back
Top Bottom