CHADEMA:"Baba wa kambo Mwanza"

J.K.Rayhope

JF-Expert Member
Oct 26, 2011
316
31
Salaam kwenu wanaJF Wote popote mlipo.Nape anaotesha mbegu ya dharau dhidi ya BABA WA KAMBO.Si mara ya kwanza anaongea maneno haya.Aliwahi kusema CHADEMA imewashikisha ukuta watu wa Mwanza,kwa tafsiri ametukana mpaka kule kwa NGELEJA,MAWE MATATU,WASIRA n.k hivi Nape hapati watu wa kumshauri namna ya kuadress hasira zake?Kwani BABA WA KAMBO hafai?
 
Tusimlaumu sana Nape huenda anaongea kutokana na experience ya kulelewa na baba wa kambo. Unajua waswahili husema 'Asemaye kamasi ina chumvi kailamba'

Hizi siasa za kejeli ndio zimewafikisha ccm ICU lakini Nape haonekani kujifunza chochote. Unless kama anataka kuizamisha ccm kisirisiri.

Mambo ya baba wa kambo, wanawake kuolewa na chama cha siasa yako ccm. Sasa huyu dogo anapata wapi ujasiri wa kuhubiri hayo anayohubiri.
 
Nchi inaongozwa na watoto haramu hii! Miccm kuongea mitusi ni kitu cha kawaida tu kwao. Hukumbuki tuliambiwa tutakula hata nyasi ilmradi tu usafiri wa prezidaa ununuliwe! Kama mtu umezaliwa sehemu ambayo mila,na tamaduni za maana zinafuatwa huwezi kuwaambia wanaume wenzako na wake zao wameshikishwa ukuta yaani wam........................wa!
 
Baba Mzazi wa Nape ni Prof. Mwan...sya. Hebu waangalieni vizuri sura zao. Sisi watu wazima banaa! Tunaelewa. Mzee Nnauye alibambikiwa mzigo.
 
Chama cha kihuni,viongozi wake wahuni,wamekuwa wakitufanyioa uhuni chinichini sasa wameona ni kawaida hadi wameanza kututukana hadharani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom