Chadema baada ya kuwafukuza madiwani wao Arusha sasa wanataka walipwe pesa

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
46,892
32,308
Wanabodi,

Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema, kimewataka madiwani watano walioshindwa kesi ya kupinga kuvuliwa uanachama kulipa gharama za kesi hiyo kiasi cha Sh15 milioni la sivyo watapelekwa magereza.

Katibu wa Chadema Mkoa wa Arusha, Amani Golugwa alisema suala la kulipa gharama madiwani hao ni sio la hiyari ni lazima. Madiwani hao ni Estomih Mallah, John Bayo, Charles Mpanda, Reuben Ngoi, Rehema Mohamedi.

SOURCE: MWANANCHI SEPTEMBA 22 2012.

My Take...Chadema kuweni na ubinadamu Madiwani mmewafukuza bado haitoshi mnataka wawalipe pesa.
 
haa haaa .... ninasemaga siku zote ... ukiwa na uwezo mdogo wa fikra bora ukae kimya ... pia lazima ukubali ujinga ni mzigo mzito sana

kwani hiyo hukumu imetolewa na mahakama ya cdm .... hukumu imetolewa bila kumwonea huruma aliyevunja sheria

ondoa huu uzi wa kijinga kabisa
 
Iache sheria ifate mkondo wake, ustake sheria ipindishwe kwa kisingizio cha ubinadamu, hao madiwani hawakujua kuwa usaliti sio ubinadamu??
 
Wanabodi,

Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema, kimewataka madiwani watano walioshindwa kesi ya kupinga kuvuliwa uanachama kulipa gharama za kesi hiyo kiasi cha Sh15 milioni la sivyo watapelekwa magereza.

Katibu wa Chadema Mkoa wa Arusha, Amani Golugwa alisema suala la kulipa gharama madiwani hao ni sio la hiyari ni lazima. Madiwani hao ni Estomih Mallah, John Bayo, Charles Mpanda, Reuben Ngoi, Rehema Mohamedi.

SOURCE: MWANANCHI SEPTEMBA 22 2012.

My Take...Chadema kuweni na ubinadamu Madiwani mmewafukuza bado haitoshi mnataka wawalipe pesa.

Amri ya mahakama iyo, kama hujui huu ni utaratibu wa mahakama nachelea kujua weledi wako.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
haa haaa .... ninasemaga siku zote ... ukiwa na uwezo mdogo wa fikra bora ukae kimya ... pia lazima ukubali ujinga ni mzigo mzito sana

kwani hiyo hukumu imetolewa na mahakama ya cdm .... hukumu imetolewa bila kumwonea huruma aliyevunja sheria

ondoa huu uzi wa kijinga kabisa
Kila mara ikitolewa hukumu against CDM mahakama inaambiwa ni ya CCM, leo mahakama imekuwa ni mahakama ya sheria!!!!
 
haa haaa .... ninasemaga siku zote ... ukiwa na uwezo mdogo wa fikra bora ukae kimya ... pia lazima ukubali ujinga ni mzigo mzito sana

kwani hiyo hukumu imetolewa na mahakama ya cdm .... hukumu imetolewa bila kumwonea huruma aliyevunja sheria

ondoa huu uzi wa kijinga kabisa

Kauzu kweli eti "ninasemaga"
 
Amri ya mahakama iyo, kama hujui huu ni utaratibu wa mahakama nachelea kujua weledi wako.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Kwa hiyo leo mnaheshimu maamuzi ya mahakama mbona kwenye maamuzi ya kesi ya Lema mlipinga.
 
Wanabodi,

Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema, kimewataka madiwani watano walioshindwa kesi ya kupinga kuvuliwa uanachama kulipa gharama za kesi hiyo kiasi cha Sh15 milioni la sivyo watapelekwa magereza.

Katibu wa Chadema Mkoa wa Arusha, Amani Golugwa alisema suala la kulipa gharama madiwani hao ni sio la hiyari ni lazima. Madiwani hao ni Estomih Mallah, John Bayo, Charles Mpanda, Reuben Ngoi, Rehema Mohamedi.

SOURCE: MWANANCHI SEPTEMBA 22 2012.

My Take...Chadema kuweni na ubinadamu Madiwani mmewafukuza bado haitoshi mnataka wawalipe pesa.

NJAA ina wasumbua siunaona wamekua ombaomba siku hizi
 
Mkuu chama,
Makamanda wanataka pesa za madiwani waliowafukuza.
 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo leo mnaheshimu maamuzi ya mahakama mbona kwenye maamuzi ya kesi ya Lema mlipinga.

Kumbe walipinga!!!
kwa hiyo Lema aliingia bungeni baada ya lwakibarila kumvua ubunge, kuna kemiko kompaundi chenji kwenye ubongo wako, indiketa inaonyesha uelekee APOLO.
 
Back
Top Bottom