CHADEMA Arusha wameanza kutoa mapovu

Kweli calculator kugongwa ni wajibu wake, ametumwa na mabwana zake apime upepo. Nenda kawambie unavuma kuelekea kusini mwa Tz.
 
Matusi ni dalili ya kushindwa unajiamini unatukana nini kichaa akivua nguo na wewe uvue nani chizi hata hivyo siko kokote ila mtaiweza tanzania kwa tabia ya mdomo mchafu kiasi hiki naona mnaitaji kufunwa kwanza na si lazima ujibu kama unaona unakosa heshima napita ila habari ndo hiyo tunataka watu walio tairiwa si matusi hata kama mwatetea tunataka heshima si wote huku tumezaliwa vichochoroni tunajiheshimu jamani
 
mtaipenda niko kikazi zaidi sitaki wakosa hehima hapa kwani kuna nini vichwani mwenu
 
Chadema wameshaanza kuona dalili za kupoteza kiti cha ubunge hapa Arusha. Vilevile viti sita vya udiwani vilivyopo wazi vyote vinarudi CCM na hivi ninavyowaletea huu uzi, viongozi wao wanasigana tu wasijue wanajipangaje. Kwisha kazi yenu.

Unajiflash kama si kujitekenya na kucheka mwenyewe!Naona kitengo cha tambwe hiza kinafanya kazi
 
asset.php

?????
 
Vipi watoa mapovu, mbona kimya sana??? Mmeskia yaliyotokea huko KARATU??? Nipo jikoni, niulizeni niwape vitu
 
Majibu haya ya chadema humu JF msifikiri wote ni wanazi tu, wengine ndio hao hao wabunge na viongozi na ndio lugha zao hizi.

Wanashindwa hoja wanaanza viroja.
 
Chadema wameshaanza kuona dalili za kupoteza kiti cha ubunge hapa Arusha. Vilevile viti sita vya udiwani vilivyopo wazi vyote vinarudi CCM na hivi ninavyowaletea huu uzi, viongozi wao wanasigana tu wasijue wanajipangaje. Kwisha kazi yenu.

Hivi magugu maji yapo hata nchi kavu? Unaposema wameanza kutoa mapovu, inamaana wamekula sabuni au una maana gani?

Mimi nipo Arusha, na unayosema sijayasikia.
 
Hivi magugu maji yapo hata nchi kavu? Unaposema wameanza kutoa mapovu, inamaana wamekula sabuni au una maana gani?

Mimi nipo Arusha, na unayosema sijayasikia.

Upo Arusha chini, kule TPC. Hauwezi kuwa Arachuga wewe. Na inaelekea wewe unakaa kwenye vijiwe vya umbea tu, tembelea a town upate vitu vya udambwi dambwi wewe.
 
Chadema wameshaanza kuona dalili za kupoteza kiti cha ubunge hapa Arusha. Vilevile viti sita vya udiwani vilivyopo wazi vyote vinarudi CCM na hivi ninavyowaletea huu uzi, viongozi wao wanasigana tu wasijue wanajipangaje. Kwisha kazi yenu.
umechoka kugongwa ukiwa umelala au siyo,vunja 7 ubadilishiwe pozi.UTALIKA 2 USIHOFU.
 
umechoka kugongwa ukiwa umelala au siyo,vunja 7 ubadilishiwe pozi.UTALIKA 2 USIHOFU.

Wewe Udaa, unataka kusema hapa ndo mwisho wako wa kufikiria? Kweli CHADEMA ile laana ya kumuua Wangwe bado inawatafuna. Udaa kikwetu ni neno la utusi.
 
Back
Top Bottom