CHADEMA Arusha kwatifuka

bongo noma tupu ni njaa kwa kwenda na hao waheshimiwa na hisi ni njaa tupu..
 
Mpaka kieleweke!

Magwanda hii issue ya Arusha haikai sawa mpaka Mbowe akubali kuwa yeye ndiye aliyeingia muafaka na Pinda bila kitafuna maneno wala kuchakachua. Hata Slaa alioujua ukweli akapunguza spidi. Ukweli tu ndio utasaidia magwanda. Nahofia huu moto wa nyasi kurukia nyumba zingine.

FaizaFoxy, soma mchango wa mdau No30 hapo juu. Hao vijana waandamaji (17!) wamekodoshwa, na sasa wanadai chao!

Na mchezo wa kukodisha umekuwa sugu sasa, Igunga waliaji, wazimiaji, na hata wabeba machela walikodishwa. Kwenye mikutano yenu mnabeba watu kwenye fusso! Sasa naona kwa Arusha mmemua kukodisha waandamanaji, lakini nakuhakikishia hapa mtaumbuka. Za mwizi 40.
 
kwa tarifa nilizo zipata baadhi wamesha kamatwa mbaya zaidi wengi wao hana hata kadi yaani si wanachama..

Hao ni mashemeji wa hao madiwan uchwara, walionunuliwa na wazee wa magamba.
Watu 30, gari mbili na pikipiki tano.....! ni sawa na wakazi wa kanyumba kamoja uko unga limited.
Lema kaza buti......! hao madiwani kitu gani?
 
  • Thanks
Reactions: FJM
hao ni wahuni tu waliolipwa na akina Mboya.
Inasemekana hao jamaa walikuwa wanakunywa pombe toka asubuhi Mrina Bar baadae wakitumia gari la diwani mmoja pia wakakodi pikipiki kama 5 kwenda kufanya vurugu ofisi za Chadema kwa maelewano ya malipo, nasikia jamaa walioahidiwa hawajalipwa baada ya kuambiwa hawakufanikisha kazi waliyopewa hadi sasa wanadai malipo yao.
 
mmmmh,haiwezekani waandamanaji wakawa wanne tu,lazima kunashida huko.Crashwise hebu jaribu kuwa mkweli japo inauma.Ephata Nanyaro ebu tueleze kulikoni Ofisi yako kufungwa wakati umetuambia hapa CDM ni IMARA hapo Geneva.
Mkuu ukweli ni kwamba kulikuwa na gari moja na pikipiki nne lakini ujumla waliokuwa kwenye maandamano hayo ni 17 na waadishi wa habari kama 6...utauona ukweli nikiweka video au kwenye vyombo vya habari maana vilikuwepo..
 
Leo mda wa saa 12 jioni nilikuwa soweto garden hapa kaloleni, nikakuta kuna jamaa kama 12 hivi wapo kwenyi kikao wanajadili jinsi ya kufunga ofisi za mkoa za CDM.

Ni kweli issue hii ni kama imefadhiliwa na mtu kwani hata vinywaji wamelipiwa na jamaa mmoja nafikiri ni mdhamini wao. Kwenye kikao chao wakapanga kuwa wakati wakienda kufunga ofisi wakodishe pikipiki 10 na wa andae mabango. Mmoja wao alikuwa na karatasi na mark pen kwenye gari akaenda kuchukua na mwingine akaenda kuita pikipiki.
Mabango yote yameandikwa na mtu mmoja ila mawazo walichangia wote.

Pikipiki mwanzo zilikuja 3 wakagaiwa bendera waka ambiwa wawaite wengine, wakafanya hivyo. Jamaa wa CDM akawaelekeza njia ya kupita na wote wakapewa bendera mpya wavae au wapeperushe ila sikuona wakipewa hela lakini nina hakika kuna wengine sio wafuasi wa CDM.

Kweli ni aibu kwa chama kikubwa kama CDM kufanya mipango yao baa na kukodi watu na kuwapa bendera kama wafanyavyo CCM!
Kama hali isipo tulizwa CDM arusha itasambaratika kwa tamaa au njaa ya watu wachache.
 
Leo mda wa saa 12 jioni nilikuwa soweto garden hapa kaloleni, nikakuta kuna jamaa kama 12 hivi wapo kwenyi kikao wanajadili jinsi ya kufunga ofisi za mkoa za CDM.
Ni kweli issue hii ni kama imefadhiliwa na mtu kwani hata vinywaji wamelipiwa na jamaa mmoja nafikiri ni mdhamini wao. Kwenye kikao chao wakapanga kuwa wakati wakienda kufunga ofisi wakodishe pikipiki 10 na wa andae mabango. Mmoja wao alikuwa na karatasi na mark pen kwenye gari akaenda kuchukua na mwingine akaenda kuita pikipiki.
Mabango yote yameandikwa na mtu mmoja ila mawazo walichangia wote. Pikipiki mwanzo zilikuja 3 wakagaiwa bendera waka ambiwa wawaite wengine, wakafanya hivyo. Jamaa wa CDM akawaelekeza njia ya kupita na wote wakapewa bendera mpya wavae au wapeperushe ila sikuona wakipewa hela lakini nina hakika kuna wengine sio wafuasi wa CDM.
Kweli ni aibu kwa chama kikubwa kama CDM kufanya mipango yao baa na kukodi watu na kuwapa bendera kama wafanyavyo CCM!
Kama hali isipo tulizwa CDM arusha itasambaratika kwa tamaa au njaa ya watu wachache.

@Mwanapolo, ukifanya tafakuri taratibu unaweza kukubaliana na mimi kuwa nyuma ya hawa watu uliokutana nao bar ni CCM. Na muda si mrefu mambo yatakuwa hadharani kesho baada ya pombe yote kuisha kichwani na kujikuta malipo pungufu (au zero). tusubiri comedy ya kudai ianze.
 
quote_icon.png
By FaizaFoxy
Mpaka kieleweke!

Magwanda hii issue ya Arusha haikai sawa mpaka Mbowe akubali kuwa yeye ndiye aliyeingia muafaka na Pinda bila kitafuna maneno wala kuchakachua. Hata Slaa alioujua ukweli akapunguza spidi. Ukweli tu ndio utasaidia magwanda. Nahofia huu moto wa nyasi kurukia nyumba zingine.
Hivi nyie baada ya kuhangaika na magamba yaliyokwama kiunoni mnahangaika na CDM.

Halafu nasikia CCM mmeanzisha chama kipya kinaitwa chama cha Ukombozi na Maendeleo kifupi UKOMA(sijui kama niko sahihi kifupi chake) anyway wewe sasa utakuwa kipi Ccj, Ccm masalia au utajiunga hiki kipya cha UKOMA.
 
wale watu 17 watatu ni viongozi wa kata wa chadema,na waliobaki si wanachama wetu,kimsingi tulikuwa na taarifa za hilo jaribio lao na tunajua nani anawafadili ili kuvuruga chama,kama anavyosema Mwanapolo ni kweli kikao kimekaa soweto garden na wakafikia hayo maamuzi dhalimu ya kutaka kufunga ofisi ya chama,madai yao hasa hayajulikani.

Hata baada ya hili jaribio ovu kabisa bado Chadema Arusha ni imara,na kesho ntaongea na media kuhusu sakata lote hili na wote walioko nyuma yake kwani tunawafahamu
 
@Mwanapolo, ukifanya tafakuri taratibu unaweza kukubaliana na mimi kuwa nyuma ya hawa watu uliokutana nao bar ni CCM. Na muda si mrefu mambo yatakuwa hadharani kesho baada ya pombe yote kuisha kichwani na kujikuta malipo pungufu (au zero). tusubiri comedy ya kudai ianze.
<br />
<br />
Ningependa mnifahamishe kamati kuu imeamua nini juu ya haoi madiwani waasi.
 
wale watu 17 watatu ni viongozi wa kata wa chadema,na waliobaki si wanachama wetu,kimsingi tulikuwa na taarifa za hilo jaribio lao na tunajua nani anawafadili ili kuvuruga chama,kama anavyosema Mwanapolo ni kweli kikao kimekaa soweto garden na wakafikia hayo maamuzi dhalimu ya kutaka kufunga ofisi ya chama,madai yao hasa hayajulikani,<br />
Hata baada ya hili jaribio ovu kabisa bado Chadema Arusha ni imara,na kesho ntaongea na media kuhusu sakata lote hili na wote walioko nyuma yake kwani tunawafahamu
<br />
<br />
Safi sana kiongozi,weka hadharani kila kitu tuwajue wabaya wenu. Unaweza kunifahamisha uamuzi wa kamati kuu juu ya hao madiwani waasi?
 
Tena hili tusipolimaliza mapema litatumaliza kabisa. Viongozi ifike mahali wakubali mkusanyo wa mawazo kwani hiki ni chama na si NGO, mi nilishaanza shtukia tangu dom kipindi kile...nilibaini wazi kuwa mfumo haujakaa sawa kwani viongozi wetu walipishana msimamo na baya zaidi wakalianika. Tatizo ni fweza tu..sijui kwa nini hili ni tatizo kiasi hiki. Mtu utamonopolize kiti as if wengine hawawezi.

Nyepesi namwaminia sana sema kamati ya wazee ambayo hata ktk katiba haipo ilimtosa. Mna~demoralize sana manpower. Ubabe ktk hali tete ni mbaya sana...ubungo terminal magari yenu ndo yana bei mbaya kwa nauli kuliko hata ya wanyonge tunaangalia tu..ilitakiwa iwe mfano kuwa mkitushushia bei tujenge imani ya kuwaongezea zaidi..namwaminia Ndesapesa bwana yaaani shwanga kbs.

Padre tulidhani utawageuka lkn wamekuajiri kwa mil 12 za posho..asituingilie babu Makengeza anatuharibia chama..muasisi muasisi how come bwana..do not dictate. Imekuwa kama family ndo maana trust tunaondoa.

Arusha ni cdm si mchawi wala nini watu wanaona. Kwani Padre huwezi kuchair kama nyepesi hatakiwi? Najua hawawezi kukupa maana umeajiriwa nao..Halima..Singo...Nyepesi...Two..Magale...Lisu tulianzisheni bwana tuitishe la dharula waachie wazee hawa..wanatufunga speed governor
 
Hawa ni mamluki ndani ya chama nadhani kuna haja ya Chama kukaa vizuri na kujitathimini aina ya wanachama na viongozi waliomo kwa maana yawezekana kila leo tukawa na watu wa kuratibu migogoro na mitafaruku kuliko kukipeleka chama mbele na kudumisha umoja wa fikra na itikadi

Tusikate tamaa kwa maana hizo ni mbinu za CCM ukizingatia ina hali mbaya hivyo inataka kufa na wengine nyuma yake kama kuiua CDM
 
Tena hili tusipolimaliza mapema litatumaliza kabisa. Viongozi ifike mahali wakubali mkusanyo wa mawazo kwani hiki ni chama na si NGO, mi nilishaanza shtukia tangu dom kipindi kile...nilibaini wazi kuwa mfumo haujakaa sawa kwani viongozi wetu walipishana msimamo na baya zaidi wakalianika. Tatizo ni fweza tu..sijui kwa nini hili ni tatizo kiasi hiki. Mtu utamonopolize kiti as if wengine hawawezi. Nyepesi namwaminia sana sema kamati ya wazee ambayo hata ktk katiba haipo ilimtosa. Mna~demoralize sana manpower. Ubabe ktk hali tete ni mbaya sana...ubungo terminal magari yenu ndo yana bei mbaya kwa nauli kuliko hata ya wanyonge tunaangalia tu..ilitakiwa iwe mfano kuwa mkitushushia bei tujenge imani ya kuwaongezea zaidi..namwaminia Ndesapesa bwana yaaani shwanga kbs. Padre tulidhani utawageuka lkn wamekuajiri kwa mil 12 za posho..asituingilie babu Makengeza anatuharibia chama..muasisi muasisi how come bwana..do not dictate. Imekuwa kama family ndo maana trust tunaondoa. Arusha ni cdm si mchawi wala nini watu wanaona. Kwani Padre huwezi kuchair kama nyepesi hatakiwi? Najua hawawezi kukupa maana umeajiriwa nao..Halima..Singo...Nyepesi...Two..Magale...Lisu tulianzisheni bwana tuitishe la dharula waachie wazee hawa..wanatufunga speed governor
Watu mna vipaji lakini hamvitumii ukiwa msanii wa bongo flava utakuwa rapa mzuri sana au unaweza kujiunga na Hadja Kopa umsaidie kutunga mashairi.
 
  • Thanks
Reactions: FJM
wale watu 17 watatu ni viongozi wa kata wa chadema,na waliobaki si wanachama wetu,kimsingi tulikuwa na taarifa za hilo jaribio lao na tunajua nani anawafadili ili kuvuruga chama,kama anavyosema Mwanapolo ni kweli kikao kimekaa soweto garden na wakafikia hayo maamuzi dhalimu ya kutaka kufunga ofisi ya chama,madai yao hasa hayajulikani,
Hata baada ya hili jaribio ovu kabisa bado Chadema Arusha ni imara,na kesho ntaongea na media kuhusu sakata lote hili na wote walioko nyuma yake kwani tunawafahamu

nanyaro, unalofanya hapa Jamvini ni jambo la maana sana - kutoa taarifa kuhusu hali ya Arusha. Hii inauwa rumours na ningeshauri kwa kipindi hiki ambacho Arusha bado iko kwenye misukosuko basi uendelee kutoa taarifa (as events take place).

Ombi langu ni moja tu na naomba ufikishe juu - WATIMUENI MADIWANI WASALITI. Watanzania tunataka uhuru na haki.basi. Hawa madiwani wameshakuwa 'contaminated' hawafai hata kidogo, na wataleta shida huko mbeleni si tu kwa chama bali kwa Taifa zima. Tanzania tumefika hapa tulipo kwa sababu ya umamluki, hatusimamii yale tunayohubiri.

Hawa madiwani waliandamana na wale marehemu 3 na wahanga wengine waliojeruhiwa. Leo inakuwaje wanasema yameisha huku yale yaliyowafanya wakakaa barabarani hayajatendeka?
 
Back
Top Bottom