CHADEMA Arusha, KIKWETE UNGEFANYA HIVI UNGEPOTEZA NN?

Amoeba

JF-Expert Member
Aug 20, 2009
3,289
781
MAANDAMANO3.JPG MAANDAMANO.JPG MAANDAMANO-2.JPG
 
Maandanmano haya yalifanyika jana katika mitaa mbalimbali ya Mjini Songea (Bombi Nyumbi), Lengo likiwa pamoja na mambo mengine, kushinikiza kutiwa Pingu kwa Mkuu wa Wilaya Songea kwa tuhuma za kuchakachua vocha za mbolea za ruzuku, kumiliki mashamba lukuki kwa njia za kifisadi, na kuendesha wilaya hii ambayo ni moja ya wazalishaji wakubwa wa nafaka aina ya mahindi KIBABE!
Ikumbukwe kuwa, Ruvuma ni moja ya mikoa iliyo nyuma kabisa kimaendeleo hapa TZ, pia nimkoa ambao umejaa vilaza wasiojua kutumia rasilmali zao (ikiwamo haki ya kupiga kura) ipasavyo, hivyo kufanya kuwa shamba la bibi kwa wabishi kutoka mikoa ya Arusha na Iringa kufika kuchuma na kutambaa; huku wenyeji wakiachwa patupu!!!
Kidumu chama cha mapinduzi!
 
Inapendeza wananchi wanapopewa haki ya kuandamana na kutoa mawazo yao bila kuvunja sheria.
 
Serikali ya CCM ilizuia nini na sasa inaruhusu nini mbona maandamano yanazidi kufanyika sehemu mbalimbali nchini?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom