CHADEMA Ardhini, CCM na Serikali yake Angani

Mdutch

JF-Expert Member
Nov 17, 2011
214
77
Nawapongeza CDM kwa kiwango chao cha kujali matatizo ya wananchi. Kwa siku mbili CDM wamekua na ziara ya kukagua maeneo ya maafa ya mafuriko Dar es salaam pamoja na kambi za waathirika. Wakati CDM wakiongozwa na kamanda Mbowe wakitembea kwenye matope na kuingia kwenye maeneo ya majanga na kujionea hali ilivyo, CCM na serikali yake wakiongozwa na Kikwete mwenyekiti wa CCM na Presdaa wamekua wakitumia Helkopta na wakishuka ardhini basi wanaishia barabarani ambako hakuna mafuriko wala athari zozote.

Kwa hili, CDM wameujua ukweli wa mambo na ndio maana jana nimemuana kamanda mbowe akiitaka serikali kutafuta mbwa wa kunusa ama vifaa vingine ili kutafuta miili ya watu ambao bado imefukiwa chini na takatakaa.
 
Nini faida waliyotoa ambayo itawafanya wahanga wawakumbuke, au ni kujionyesha tu kama wako karibu na wananchi. Hawana lolote la maana hao.
 
naona umeshakopi and paste,katuni.katuni yako na mchango wako ni vitu viwili tofauti
 
Nini faida waliyotoa ambayo itawafanya wahanga wawakumbuke, au ni kujionyesha tu kama wako karibu na wananchi. Hawana lolote la maana hao.

Hata hilo nalo jambo kwani magamba wameshindwa kuonyesha ukaribu huo na wahanga.
 
Nini faida waliyotoa ambayo itawafanya wahanga wawakumbuke, au ni kujionyesha tu kama wako karibu na wananchi. Hawana lolote la maana hao.

Ukiwa sisiemu ubongo hufubaa ndio maana magamba wote hakuna hata aliyekuwa na wazo la japo kutumia mbwa kusaka marehemu
 
Nini faida waliyotoa ambayo itawafanya wahanga wawakumbuke, au ni kujionyesha tu kama wako karibu na wananchi. Hawana lolote la maana hao.
kweli siasa ikishakuwa dini inakuwa mbaya sana. Ulitaka wafanye nini labda? Wajifungie ndani? Watoe vyote walivyo navyo?

Ni vizuri wangetumia umaarufu wao kufanya fund raising kuwasaidia wahanga lakini sijui wao wamejipangaje. Ila comment yako imeniudhi maana siasa imekufanya kipofu. Mungu akusaidie!
 
CCM iwaachie watu makini ndani ya chama chao washike uongozi. Sioni kwa nini wasiwape nafasi..
 
kweli siasa ikishakuwa dini inakuwa mbaya sana. Ulitaka wafanye nini labda? Wajifungie ndani? Watoe vyote walivyo navyo?

Ni vizuri wangetumia umaarufu wao kufanya fund raising kuwasaidia wahanga lakini sijui wao wamejipangaje. Ila comment yako imeniudhi maana siasa imekufanya kipofu. Mungu akusaidie!

Wazo la fundrising tayari wanalifanyia kazi tagu juzi,soon tutajulishwa ni nini kifanyike
 
Jk hawezi kujichafua na matope umesahau zile suti na picha za kina 50? Sisi wathirika acha tukae kwenye matope yetu ila kura zetu zitaonekana 2015
 
Mpaka Slaa anatoa waraka wake, hamna mwanachadema yeyote aliyekuwa amefika kwenye eneo la tukio including Slaa mwenyewe. Baada ya kuwasema hapa ndio wameamua kujibaraguza.
Inabidi watambue kuwa, maafa kama haya inategemea mtu umeguswa vipi.kutoa hela nyingi siyo kigezo cha kuguswa sana. CDM inabidi wajifunze kuact on the spot, siyo wasubiri tuwaseme hapa ndio wakafanyie kazi maoni yetu.
Nawashukuru sana viongozi wa CDM kwa kupenda kuchukua maoni yetu hapa. Huwa wanajidai kutupinga lakini baadaye kinawaingia na kuyafanyia kazi.
 
Umeona ehee!!
 
hakuna lolote wanadenda kula zenu2, hata ccm wakishika mkojo wao cdm watashika mavi kuonesha tofauti, cjaona upinzani tanzania wa kiwango cha chini namna hii, na kwa kuwa cc wananchi hatuna Elimu ya uraia bs ndo tunadanganyiiiika,, vi here here hawa.. Angalia suala la posho utagundua target yao ni nn, kwa nn wasiseme kama wao wanaongezewa posho bs na watumishi wengine wa umma waöngezwe mishahara na posho na kuhimiza watu waongeze bidii katika kazi.
 
Back
Top Bottom