Chadema anzisheni operation 'kimbunga' nchi nzima

mgen

JF-Expert Member
Nov 18, 2010
22,631
8,417
Kama ilivyo kuwa operation 'SANGARA';
Sasa twende mbele na operation 'KIMBUNGA' Yenye malengo haya;
1 Kuwaelimisha wananchi kila eneo watakapo pita kuhusu mali asili walizo nazo mahalia.

2 Kwa nini haziwasaidii kuwaondolea umaskini

3 Wafanyeje ili ziwanufaishe.

4 Wazilinde vipi dhidi ya wizi, pamoja na kuwelimisha mbinu za wezi.

ITASAIDIA VUGUVUGU LA KUAMSHA UMMA.
 
Back
Top Bottom