CHADEMA and the Need for the Rise of A Radical Agenda Towards 2015

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,474
39,987
attachment.php

I am of a view that the only way to ultimately remove The Revolutionary Party of Tanzania from power through an election is by promulgating and promoting a radical conservative reform agenda. By 'conservative reform agenda' I mean policies that are based on certain founding principles of our nation (thus we conserve them) but even more a more modern African Conservatism. This "African Conservatism" I propose would be recognized by its pro-family, pro-life, pro-business, and pro-national security.

More so, this radical agenda will be and must be the one that aims at a complete and comprehensive dismantling of corrupt system that has been established in the country over the past three decades (of course others might argue even a little longer than that). It is this system which I for one believe has created and sustained the level of poverty in the country while at the same time - as Nyerere articulated in 1995- has created a small number of super-millionaires who live in their own paradise in the midst of extreme poverty!

For some of us who were called to assist in the formulation of CHADEMA's election manifesto for the last General Elections of 2010 we understood rather clearly that the only way to create a popular interest for ordinary voters is through a bold and audacious agenda for change. It was this agenda that called the nation to hope not just any 'hope' like "Obama's hope" but a desire for true and consequential political and leadership change. I believe towards 2015 this hope need to be articulated through a well defined agenda involving all the major sectors of Tanzanians political, economic, social and cultural life.

Unfortunately, for now this agenda is not clear and not well articulated. As I listen to many opposition politicians the language is not encouraging, their plans disheartening and their message somewhat self-serving and ambiguous. I followed carefully the just ended budget session in Dodoma and one thing was very clear - there opposition politicians who look at CCM as somehow the instrument for change. These politicians still beg and advise the ruling government to come up with 'policies' that would improve the lives of ordinary Tanzanians. It is a shame - indeed it is! - that instead of condemning the failed policies of the ruling party these politicians try so hard to advise the government to come up with something 'better'!

It is for this reason, I believe the major challenge toward 2015 especially for CHADEMA is to recognize and agree on a true radical reform agenda. Not a moderate, liberal or a 'reconciliatory' agenda but a true transformative political reformation agenda which will lead to rapid reconstruction of our nation spirit and institutions. The fundamental question that needs to be answer is this: what are the main elements of this radical agenda and how can CHADEMA or any other party for that matter create such an agenda before the General Elections of 2015? What would be the major components or elements of such an agenda?

Can a party with such a radical economic, political and social agenda win an election without being seen or considered to be an ultra-conservative party?
 
Attachments

  • slaa-mbeya-1_phixr.jpg
    slaa-mbeya-1_phixr.jpg
    76.3 KB · Views: 510
mwanakijiji Kwa sasa Ungependekeza jinsi ya kupata pesa ili M4C ifanikiwe, kama unadhani hizo agenda/polies zaweza kuleta impact ktk siasa zetu siku zote huwa nakwambia, rudi home kaka, njoo tuchape kazi, kale kajalida kako umeshindwa kukapeleka kwa watz kule vijijini, kanasomwa hapa mtandaoni
 
More so, this radical agenda will be and must be the one that aims at a complete and comprehensive dismantling of corrupt system that has been established in the country over the past three decades (of course others might argue even a little longer than that). It is this system which I for one believe has created and sustained the level of poverty in the country while at the same time - as Nyerere articulated in 1995- has created a small number of super-millionaires who live in their own paradise in the midst of extreme poverty!

Mzee Mwanakijiji the problem for CDM as in CCM is image........... graft chomping masters? Fix the messenger first and the message will shift radically........but dealing with the message and proclaiming the messenger is okay is self-deception, to put it mildly...........Get rid of mcheza disko, Zitto & CO........then you stand the chance..................
 
Last edited by a moderator:
1. Pro-family? ... Most of CDM politicians are not good "Family men/women", most of'em aren't showing their allegiance to the nuclear family (as in, not married).

2. Pro-life? ... most young men/women who aren't married at their thirties have a higher probability of aborting a "Child" in their lifetime, so I don't really buy the pro-life **** coming from CDM politicians.

3. Yeah they are pro-bussiness but that is not what African conservatism, naturally we produce for subsistence, not accumulation.... good luck on that one!!! (what a dumb strategy).

4. National security? ....You guys don't even have a foreign policy!!

GET OUTTA HERE!!!
 
i think the rise of the agenda named "radical" may even make M4C more strong
mwanakijiji Kwa sasa Ungependekeza jinsi ya kupata pesa ili M4C ifanikiwe, kama unadhani hizo agenda/polies zaweza kuleta impact ktk siasa zetu siku zote huwa nakwambia, rudi home kaka, njoo tuchape kazi, kale kajalida kako umeshindwa kukapeleka kwa watz kule vijijini, kanasomwa hapa mtandaoni

sidhani kama utajenga kwa kauli kama hizi
Rutashubanyuma said:
to put it mildly...........Get rid of mcheza disko, Zitto & CO........then you stand the chance..................

I think you are offpoint if got mwanakijiji well;
kobello said:
1. Pro-family? ... Most of CDM politicians are not good "Family men/women", most of'em aren't showing their allegiance to the nuclear family (as in, not married).

2. Pro-life? ... most young men/women who aren't married at their thirties have a higher probability of aborting a "Child" in their lifetime, so I don't really buy the pro-life **** coming from CDM politicians.

3. Yeah they are pro-bussiness but that is not what African conservatism, naturally we produce for subsistence, not accumulation.... good luck on that one!!! (what a dumb strategy).

4. National security? ....You guys don't even have a foreign policy!!

Hawa CDM inabidi watuhakikishie kua kama tatizo kuu la CCM ni uongozi unaoshindwa kuangalia maslahi ya kitaifa kwa kukumbatia ufisadi na maslahi binafsi, basi wenyewe watakuja na dawa ya hili kwa kuchora mstari chini na kuapa kuwafikisha mahakani na kuwafilisi hawa mafisadi, kurudisha rasilimali za nchi zilizohifadhiwa nje ya nchi na kuweka sheria kali ikiwemo pamoja na kuunda na kusuka upya vyombo vya usalama kufanya kazi kwa uwazi zaidi na kwa uhuru zaidi ili kuuzika kabisa huu mfumo wa kifisadi na mafisadi wao. Hii ni total break up with the past na itakua ni precedent nzuri itayoweka sawa vizazi vingi vijavyo vya viongozi kuweka maslaji ya taifa mbele.

Hizi kelele za M4C na sangara na kuishia tu kuwataja mafisadi bila kusema watafanya nini naona kama ni uvuguvugu na siasa tu na siyo dhamira ya dhati ya kuleta mageuzi ya kiuongozi na kisiasa kwenye taifa hili.

wananchi hawataki uvuguvugu wanataka mageuzi ya kweli na wana chuki na viongozi wabadhirifu waliowaharibia na wanaoendekea kuwaharibia maisha kila siku na hii ingesaidia kuipeleka CDM that extra mile kwenye kuitoa CCM kama jinsi MM anavyosema hapa.

Kama Mbowe, Slaa et el wanakua hawana uhakika wakiwa mbali na nje ya tawala iliyopo kuweka bayana nia zao za kimapinduzi watafanyaje wakiwa viongozi huku mabaki ya mfumo uliopita yakiwa yana nguvu kubwa ya kiuchumi na ushawishi kwenye jamii?

Ushabiki ni ushabiki mwisho wa siku watu wanaendelea kuongea na kuchekeana, ila mageuzi ya kweli ni mithili ya mapinduzi ambapo tabaka nyonyaji liliopita linafukiwa kabisa na taifa kuanza upya na hapa wengi tuna shauku ya kuona linafanyika ili kuinusuru Tanganyika yetu.
 
1. Pro-family? ... Most of CDM politicians are not good "Family men/women", most of'em aren't showing their allegiance to the nuclear family (as in, not married).

2. Pro-life? ... most young men/women who aren't married at their thirties have a higher probability of aborting a "Child" in their lifetime, so I don't really buy the pro-life **** coming from CDM politicians.

3. Yeah they are pro-bussiness but that is not what African conservatism, naturally we produce for subsistence, not accumulation.... good luck on that one!!! (what a dumb strategy).

4. National security? ....You guys don't even have a foreign policy!!

GET OUTTA HERE!!!

oh boy! We will get there anyway...
 
Rutashubanyuma... Ive no problem na huyo mcheza disco, Padri, mpenda sifa na bachelor Zitto, mbishi saa nyingine bila sababu Lissu, na mtumia hoja ya nguvu na badala ya nguvu ya hoja Lema kwenye uongozi wa juu wa taifa hili iwapo tu an all inclusive constitution itakuepo, na CDM waje na sera na ahadi za kweli ambazo miaka mitano zitapimika na kutupa wananchi nafasi ya kuwapima na siyo vague propositions ambazo zitasaidia kuwalinda na public opinion pale mambo yatapokua hayajaenda vizuri..
 
Mzee Mwanakijiji,

One thing I agree with you is that CCM has failed Tanzanians for over 3 decades. For radical changes to happen, this would entail removing it from power and refocus the country on the following areas:

(1) Vision - What common vision do we have as country in terms of economic, social, cultural and foreign relationship areas?. For example, bogus mineral contracts would have to be aggressively renegotiated such that our resources should be seen as a blessing to Tanzanians rather a "resource curse". Our vision should articulate on how to proactively invest our resources by factoring the truth that mineral resources are finite in supply whereby 20 to 30 years to come everything will be gone. The key question to be answered by all of us is, what will be left with us for our future generation?

(2) Good Governance- Our constitution should uphold rule of law, integrity, leadership ethics, forbid corruptions etc. Public leaders should be vetted, monitored and undergo rigorous periodic performance appraisal processes in a transparent way. Results and remedial actions should be made public. Always government should be responsible to its voters.

(3) Policy priorities: We need to prioritize our development plans. Our priorities should be few and SMART. For example, education, agriculture sectors can easily empower economically large part of our population if they are strategically managed.
 
mwanakijiji Kwa sasa Ungependekeza jinsi ya kupata pesa ili M4C ifanikiwe, kama unadhani hizo agenda/polies zaweza kuleta impact ktk siasa zetu siku zote huwa nakwambia, rudi home kaka, njoo tuchape kazi, kale kajalida kako umeshindwa kukapeleka kwa watz kule vijijini, kanasomwa hapa mtandaoni.....

Nadhani ndg hujamuelewa Mwanakijiji..go back n read again the mwanakijiji text you may probably understand what the guy is trying to put in context....hatahivyo ni vizuri ukaelewa kwamba Money is not an end in itself..kama ingekuwa hvo basi CCM isingekuwa inaporomoka kwa kiwango tunachoshuhudia....A RADICAL AGENDA FOR CHANGE NI mhn sana
 
For some of us who were called to assist in the formulation of CHADEMA's election manifesto for the last General Elections of 2010 we understood rather clearly that the only way to create a popular interest for ordinary voters is through a bold and audacious agenda for change. It was this agenda that called the nation to hope not just any 'hope' like "Obama's hope" but a desire for true and consequential political and leadership change. I believe towards 2015 this hope need to be articulated through a well defined agenda involving all the major sectors of Tanzanians political, economic, social and cultural life.

?
I liked the Obama Hope thing! But I guess, If you were writing this article during the Obama's much hyped campaign you would not have seen this HOPE thing the way you see It now, by then I guess the whole World was convinced, he was serious when he said CHANGE WE CAN BELIEVE IN!
So I guess the Obama thing, is supposed to be a good lesson to all of us, about what a human being is capable of when It comes to get what he wants and how far he can go in convincing! Kwangu mimi hapo somo ni kwamba tusiweke mayai yote kwenye kapu moja, its Ok to vote for CHADEMA lakini dont expect the so called CHANGE If it happens then tutashukura Mungu, and If it doensnt, well life
goes On!

Kwa Upande wa Tanzania nafikiri umesahau aina ya wapiga kura wa Tanzania ambao wengi wako vijijini na sidhani kama wanapiga kura kutokana na sera kwa maana hizi sera mara nyingi ziko complicated sana kwa mtanzania wa kawaida kuzielewa nafikiri hiyo sehemu huwa inasahaulika sana hasa na wataalamu/ washauri wetu!
 
This mentality that Tanzanians are incapable of voting based on policies and ideological convictions needs to be challenged and defeated by a new generation of voting populace. Kama wanaojiita au kujiona wasomi nao wanapiga kura kwa kufuata kasumba na kama wao hawawezi zilizoshindwa za CCMkuna tumaini gani basi kwa wananchi wa kawaida?
 
Mzee Mwanakijiji the problem for CDM as in CCM is image........... graft chomping masters? Fix the messenger first and the message will shift radically........but dealing with the message and proclaiming the messenger is okay is self-deception, to put it mildly...........Get rid of mcheza disko, Zitto & CO........then you stand the chance..................

wewe ni mpuuzi..na hujaacha upuuzi tangu ulete ile thread ya kijinga eti ''ccm na jukumu la kutoa rais bora''
huwezi kufika kwa mwendo huu.....
 
Mawazo mazuri na yanayotakiwa kufanyiwa analysis kwa karibu sana, ukweli ni kuwa tunatakiwa kuunga nguvu ya kada zote katika mapambano ya kuibadilisha hii nchi...kuna aja ya kuunga nguvu za wanaharakati, wanasiasa, wanahabari, wasomi, wasio wasomi, wakulima, wafanyakazi nk ili kujenga hoja madhubuti inayoeleweka "clear agenda" si muda wa kuwakilisha mawazo ya watu binafsi hasa wanasiasa, wasijaribu kuiteka hoja hii ya mapinduzi kuwa yao, inapaswa iwe ya jamii na kila mmoja aone kuwa anashiriki kwa namna moja au nyingine.

Nacho kiamini ni kuwa hoja yako imesomeka na kueleweka, na nakushauri jambo moja mkuu MM, hoja kama hizi ni vyema wakati mwingine zikapelekwa moja kwa moja kwa chama, hasa CHADEMA ambacho ndio tegemeo lililobakia kwasasa kwa watanzania.
 
Mwnakijiji samahani nimeiondoa like yangu kwasbabu umeibeza dhana ya hope ya Obama.Nilishasahau kuwa wewe ni republican mwenye mawazo kama ya mwalimu Nyerere.
Otherwise nakubaliana na hoja.
 
There is nothing radical than rejecting this constitution amendment thing.
Tuanzie hapo kwanza.Tume ya katiba ni ya mtu mmoja, lets face it. Mtu mmoja ameteua wajumbe wa tume kwa matakwa yake, kwa vigezo vyake, kwa maono yake na kuthubutu hata kuwapa topics za kuruhusu kujadiliwa. Mtu huyu ambaye anatoka chama fulani tunategemea ataruhusu vipengele vitakavyo saidia vyama pinzani ili vimtoe madarakani, hili linawezekana vipi?
Katiba ndiyo sheria mama, hata zije M4C ngapi, bila TUME HURU ya katiba hatuendi kokote.Tumeishaona mwenyekiti wa Tume anakataa mapendekezo yasiyoendana na wanayoyataka wao akidai wananchi wametumwa, tumeishasikia ma DC wakiandaa watu kusema tume inayotaka. Tutegemee nini hapo?
 
Shida kubwa tuliyonayo,ni ku underestimate what ccm is capable of doing just to stay in power.ccm haisikilizi wananchi na haina mpango wa kufanya hivyo.Sina imani na chochote tunachoambiwa ni kizuri kwa Taifa kama ccm inashiriki.Sina imani kabisa.Chochote kitakachoonekana kumpa mwananchi ufahamu na uelewa,ccm hawakipendi.
 
Back
Top Bottom