CHADEMA agent reported missing in Arumeru East

imekuwa kawaida sasa, hizi mbinu za kutekana kwa vyama vya siasa, inamaanisha nini kwa siasa zetu za kibongo???
Duh tumefika huko tena kuanza kutekana? Kuna tofauti yoyote na wale watekaji wa meli kule baharini? Nakumbuka Masabah wa CUF!
 
Kisheria afisa usalama kuwa na taarifa haina maana kwamba beno malisa ana hatia ni kazi yake kuchimba ukweli zaidi juu ya tuhuma za malisa kwa ajili ya hukumu ya kisheria

Katika sheria iyo hatia haiwezi julikana au mtu akutwe nayo mpaka awe na kesi ya kujibu.

Sasa huyo malisa ataweza shikiliwa ili kuisaidia polisi,haya unayotokwa nayo povu hapa jamvini hayatatusaidia.
 
Kisheria afisa usalama kuwa na taarifa haina maana kwamba beno malisa ana hatia ni kazi yake kuchimba ukweli zaidi juu ya tuhuma za malisa kwa ajili ya hukumu ya kisheria

Ushabiki unafanya akili iwe chongo!!
Angekuwa mwanao ndiyo amepotea na mara ya mwisho na aliikorofishana na mimi ungesemaje? Au kwa sababu Benno ni mwenyekiti wa UVCCM?

Tuache porojo Benno ndiyo mtuhumiwa namba moja na anatakiwa akamatwe mara moja ili akahojiwe au kuisaidia polisi.

Halafu fahamu Benno anamiliki silaha kihalali, hivyo kuitumia kwa mauaji ni possible na kisa kuhakikisha maiti haipatikani ni possible.

Kusema Mombo analifahamu hili nakusudia vyombo vya ulinzi na usalama vina taafifa hizo kwa usahihi.
 
Mama porojo,una porojo kweli wakti mwingine weka ushabiki wa magamba pending ktk suala la human right
 
Kisheria afisa usalama kuwa na taarifa haina maana kwamba beno malisa ana hatia ni kazi yake kuchimba ukweli zaidi juu ya tuhuma za malisa kwa ajili ya hukumu ya kisheria

Hapo unataka kusema nini sasa? Je! Atachimba zaidi bila kumkamata Malisa? Hebu fikiria usiku wa jana nimetoka kukunani hii na watu wanajua hilo halafu asubuhi inayofuata watu wasikuone kitaani unafikiri sitakamatwa? Acha kuwaza kwa kutumia makalio wewe!
 
Habari hii inasikitisha sana kwa kweli. Kila siku nasema siasa siyo vita lakini naona inaelekea huko sasa
 
Kisheria afisa usalama kuwa na taarifa haina maana kwamba beno malisa ana hatia ni kazi yake kuchimba ukweli zaidi juu ya tuhuma za malisa kwa ajili ya hukumu ya kisheria

Toa porojo zako humu wewee! Angekua ndugu yako ndo kapotea?
 
Very sad. Red brigade nao wa-deal na Malisa na kama vipi waisambaratishe roho yake kabisa.
 
Back
Top Bottom