Elections 2010 Chadema acheni Uzembe! Nzega ni yenu

Mwanzo

Member
Sep 6, 2010
10
0
Naomba niseme wazi kuwa jimbo la NZega lipo wazi na wakazi wa NZega wote kwa moyo mmoja wameamua kumchagua Ndg Meza mgombea wa Chadema ninapo sema wakazi wa Nzega nina maana zaidi ya nusu ya wana CCM wa NZega hawatampa kura dr Kigwangala hivyo chadema mkiongeza nguvu kidogo sana jimbo hilo ni lenu tatizo yaonekana mmekariri majimbo ya chadema ni yepi hivyo haionekani nguvu yoyote ya Chadema makao makuu kuwekeza Nzega kisiasa kwa kuwaibia siri viongozi wengi wa CCm Nzega wameamua kumpigia kura ndg Meza sasa itapendeza kaam kitengo propaganda cha makao makuu kikaweka mipango maalumu kwa jimbo la NZega kwani wana CCM wa NZega wapo tayari kuwapa ushirikiano wa kutosha kwa sababu zinazo eleweka, nampongeza Ndg Meza kwa mkutano mzuri wa majuzi pale parking lakini haitoshi. mwisho naomba Jonh Mnyika kwa kuwa ni memba hapa ani P.M ili niweze kumpa ushirikiano wa kutosha jimbo lipo wazi
 
Good news; Najua wahusika watakufikia; mhimu wazalendo kama wewe kutoa tarifa na ushirikiano wa dhati; kuwezesha; sidhani kama chadema wamekariri; ila wanajaribu kuangalia na ukweli fulani kuwa hapa nisije kuwekeza nikatoka patupu; kwa taarifa hii; na kwa kuwa wengi wako mapumziko ya mtihani tutaomba dr slaa pia apitie maeneo hayo na kuacha cheche na mhimu iwe imelenga uokovu wa waliojeruhiwa; thanks
 
Back
Top Bottom