CHADEMA acheni usharobaro

[video]http://www.youtube.com/results?search_query=sharobaro+oyoyo&aq=1[/video]

Na mkibisha na mimi na log out...bwaha bwaha
 
Najua ina kuuma ili maamuzi ya bunge yamefanyika kwa nia njema kabisa ili kuimarisha upinzani. Kuwa mpole na shirikiana na wenzako, hasira zako hazisaidii ndio yameisha tokea

Genetic Modified Brain.... kwanini unaitetea hii mada au wewe ndiyo ThinkTwice...ninawasiwasi sana....ulikuwa wapi siku nyingi sijakupata humu na mradi wako wa mashine ya pumba
 
CHADEMA wamedhihirisha ya kwamba wao ni :
1. Waroho wa madaraka
2.Hawako kwa ajili ya maslahi ya Taifa bali ya binafsi zaidi
3. Kutokuwa na maamuzi sahihi, kwa maana hiyo basi utoto unawasumbua
4. Kuweka udini na ukabila mbele kuliko maslahi ya taifa
5. Kutowatendea haki wananchi walio wachagua, kwa kutowawakilisha bungeni ipasavyo
6. Kutofanya kazi zao kwa weledi na kufuata mkumbo na maneno ya vijiweni

Kwa usharobaro huu CDM si chama cha siasa ni kikundi cha wajanja wachache wenye maslahi yao binafsi
kila siku nakwambia thinktwice sio kila siku kutuletea COWDUNG zako hapa
 
huu ni ukweli usiofichika umefafanua sawa sawa na ndivyo wananchi waliowatuma huku vijiweni wanafyowaelewa kwa sasa kwa hawakuwachgua kwenda kuonyesha utovu wa nidhamu ila kutete maslahi yao, ila waowabinafisi tu hakuna aliyetumwa wala kulipwa mwenye akili timamu yeyote hata waingereza wameona ni ujinga wanafanya
 
Genetic Modified Brain.... kwanini unaitetea hii mada au wewe ndiyo ThinkTwice...ninawasiwasi sana....ulikuwa wapi siku nyingi sijakupata humu na mradi wako wa mashine ya pumba

Tupo kwenye kutetea maslahi ya wanyonge , wewe upo kwenye kutetea maslahi ya wachache wenye uchu wa madaraka aisee !
 
jamani kama kanuni zinaweza kubadilika hivi
tubadilishe kanuni ili pia CCM ishirikiane na CHADEMA kuunda serikali.
maana kwenye kura CCM ilipata milioni 5, na CHADEMA 2.5...
kama CCM kweli wana nia nzuri na hawana uroho wa madaraka
 
Kuna majitu mengine mazezeta sana humu hata siku chadema wakiboronga yatasapot tu...we mtu mzima na akili zako unazira kikao kwa ujinga wako,mbona sasa walirudi ndani??ipo siku watawazira wake zao wanaume tuwasaidie kudadekiiiiiiiiiiiii..kama upuuzi hata ccm wanao mkubwa tu lakini running away from problems is not the way of solving them....bishana kwa hoja sio kukimbia hovyo,rotten cowards
 
Wimbo wako mzuri, njoo nikununulie vyombo vya muziki uanzishe bendi ya kuniburudisha nyumbani kwangu na mshahara nitakulipa uutakao

Hapo kwa bold.. mafisadi wanakulipa kiasi gani mpaka uwe na uwezo wa wewe kulipa mtu?? Labda kama wameshakulamba hapo najua utaopoa japo kamadaraka...:coffee:
 
kama hauna vya kutuandikia uwe unakaa chini,mambo ya udini na ukabila yanakujaje hapo,je hao mafisadi hawana hayo mambo,wee vipi
 
Kuna majitu mengine mazezeta sana humu hata siku chadema wakiboronga yatasapot tu...we mtu mzima na akili zako unazira kikao kwa ujinga wako,mbona sasa walirudi ndani??ipo siku watawazira wake zao wanaume tuwasaidie kudadekiiiiiiiiiiiii..kama upuuzi hata ccm wanao mkubwa tu lakini running away from problems is not the way of solving them....bishana kwa hoja sio kukimbia hovyo,rotten cowards

Wao wanazila wenzao wanakula sasa, mwisho wa siku hawana lao
 
Hapo kwa bold.. mafisadi wanakulipa kiasi gani mpaka uwe na uwezo wa wewe kulipa mtu?? Labda kama wameshakulamba hapo najua utaopoa japo kamadaraka...:coffee:

Tuko kwa ajili ya kujali maslahi ya kitaifa zaidi, na si ubinafsi kama wa CHADEMA
 
Yamkini hupaswi kulaumiwa!

Nikwavile tu bado hujajitambua. Bado umelala usingizi! Ninaamini ukikua utaacha.

'WAPO WENZIO WENGI KAMA WEWE AMBAO
BADO HAWAJU KAMA DUNIA INAZUNGUKA'

CHADEMA ni wakandamizaji wa demokrasia na wenye ubinafsi wa hali ya juu, jukumu mlilo wapa hawaliwezi ndio maana wanatoka toka ovyo bungeni. Si ajabu hata mwanachama wao wakakutosa watu wa namna hii pindi watakapo pata madaraka

Na huyo rais wako JK aliyemaliza hela kwenye mfuko wa Serikali kwa kutengeneza mabango yake ya campaign utamwitaje??? MBINAFSI NA MKANDAMIZAJI?? au wewe unamwona anakufaa..............jiangalie maisha yako yalivyo ya shida - na kama wewe ufisadi - angalia ndugu zako ..... angalia WATANZANIA walipofikishwa ........ nchi tajiri - watu maskini - TANZANIA TAJIRI - WATANZANIA MASKINI - kisa ufisadi - najua kauli zako zinaonyesha unauunga mkono malipo ya DOWANS - wake up!!!!!!! MUNGU AKUPE UHAI ILI CHADEMA WATAKAPOPATA MADARAKA UONE KAMA UTAKUWA MASKINI KAMA ULIVYO SASA.
 
Back
Top Bottom