inawezekana ikawa ndio maoni yako. ila tambua yafuatayo ambayo umma umewezwa kupotoswa. kwa nini kanuni hazibubadilishwa 2007. CUF walikuwa na wabunge wengi miaka iliyopita ila hawakuzidi asilimia 12 ila kwa kuwa chadema mwaka 2010-15 wanawabunge 46 na vyama vingine hawajafikia ndio maana kunatokea haya. nani mroho wa madaraka wanaopinga kubadilika kwa kanuni au wanaopigania katiba ibadilike na wao wawemo.tafakari chukua hatua