Chadema acheni kuwatetea mapacha watatu

Makupa

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
5,023
2,553
Gazeti linalomilikiwa na CDM kwa mara nyingine tena toleo la leo jumapili lina taarifa yenye mwelekeo dhahiri wa kuwabeba mapacha watatu.Ni aibu kwa chama kinachojipambanua kupinga ufisadi wakati huo huo kinatumika kuwatetea wanaotuhumiwa kujihusha na ufisadi.Ningependa kunukuu baadhi ya vifungu kama ifuatavyo: Lowassa, Rostam ,waandaliwa 'ZENGWE'
 
mambo? leo umesafisha kinywa?
 
Aliyesema Edward, Andrew na Rostam Mafisadi ni nani? Watu safi kabisa hawa hata CCM imeshatuambia
 
Gazeti linalomilikiwa na CDM kwa mara nyingine tena toleo la leo jumapili lina taarifa yenye mwelekeo dhahiri wa kuwabeba mapacha watatu.Ni aibu kwa chama kinachojipambanua kupinga ufisadi wakati huo huo kinatumika kuwatetea wanaotuhumiwa kujihusha na ufisadi.Ningependa kunukuu baadhi ya vifungu kama ifuatavyo: Lowassa, Rostam ,waandaliwa 'ZENGWE'
Kaka, unadhani CDM, wana dhamira ya dhati kuwakomboa Wananchi hamna kitu ni usanii mtupu wanafanya, wapo kimaslahi zaidi
 
Mbona mnatapatapa sana kama mmewashindwa kuwatoa accommodate them or you better keep quiet.
 
Gazeti linalomilikiwa na CDM kwa mara nyingine tena toleo la leo jumapili lina taarifa yenye mwelekeo dhahiri wa kuwabeba mapacha watatu.Ni aibu kwa chama kinachojipambanua kupinga ufisadi wakati huo huo kinatumika kuwatetea wanaotuhumiwa kujihusha na ufisadi.Ningependa kunukuu baadhi ya vifungu kama ifuatavyo: Lowassa, Rostam ,waandaliwa 'ZENGWE'

chadema hawana chombo chochote cha habari kuanzia gazeti hadi Radio sasa wewe unongelea gazeti la Mbowe na si Chadema .Na kama gazet hilo limeandika kuwatetea basi nawapa heko maana CCM hakuna wa kuwagusa .Chadema yaani Katibu mkuu wa Chama wamesha sema .Wabunge wamesema wewe unashangaa ?Som tena then tafakari what this gazeti is doing ni kuchochea fitina CCM waumane chama kife na si kuwatetea mapacha 3 .Kasome tena then utaona kwamba Chadema hawana gazeti ila hilo ni freemedia .Freeman Mbowe Media nenda huko wanako sajiri utaona haya nisemayo .
 
chadema hawana chombo chochote cha habari kuanzia gazeti hadi radio sasa wewe unongelea gazeti la mbowe na si chadema .na kama gazet hilo limeandika kuwatetea basi nawapa heko maana ccm hakuna wa kuwagusa .chadema yaani katibu mkuu wa chama wamesha sema .wabunge wamesema wewe unashangaa ?som tena then tafakari what this gazeti is doing ni kuchochea fitina ccm waumane chama kife na si kuwatetea mapacha 3 .kasome tena then utaona kwamba chadema hawana gazeti ila hilo ni freemedia .freeman mbowe media nenda huko wanako sajiri utaona haya nisemayo .

hili gazeti linamilikiwa na chadema by proxy kupitia mbowe
 
Attachments

  • uchoyo.jpg
    uchoyo.jpg
    76.1 KB · Views: 24
Kaka, unadhani CDM, wana dhamira ya dhati kuwakomboa Wananchi hamna kitu ni usanii mtupu wanafanya, wapo kimaslahi zaidi

Vipi wabunge na Mawaziri walio mtetea CHENGE juzi? vipi waliomshangilia Lowasa Bungeni?
Vipi walio wapa wenyekiti wa kamati za bunge hawa Mafisadi?
 
Gazeti linalomilikiwa na CDM kwa mara nyingine tena toleo la leo jumapili lina taarifa yenye mwelekeo dhahiri wa kuwabeba mapacha watatu.Ni aibu kwa chama kinachojipambanua kupinga ufisadi wakati huo huo kinatumika kuwatetea wanaotuhumiwa kujihusha na ufisadi.Ningependa kunukuu baadhi ya vifungu kama ifuatavyo: Lowassa, Rostam ,waandaliwa 'ZENGWE'
gazeti gani linamilikiwa na chadema! Ebu liseme tulijue? Bt najua unamaanisha gazeti la mwenyekiti wa chama? Lazima liwatetee sababu mwenyekiti wetu nae ni fisadi
 
Kaka, unadhani CDM, wana dhamira ya dhati kuwakomboa Wananchi hamna kitu ni usanii mtupu wanafanya, wapo kimaslahi zaidi

CDM iliwaambieni siku nyingi habari za ufisadi wenu na majina mkapewa. Sasa mmeshindwa kuwajibishana mnatafuta mchawi. Watoeni basi hao mapacha mbona kelele nyingi? Kwani Mapacha ni wabunge kupitia chama gani? kwani ni wajumbe wa NEC wa chama gani? Wafukuzeni muone kama wataitaka kadi ya CDM. Tumieni akili hata za msalani kufikiri na kupambanua mambo enyi mliopotezwa na CCM kwa fedha kiduchu za NAPE.

Mapacha wanawatesa sana, mziki mkubwa mmeshindwa kucheza. Siku tisini sasa nasikia 120 zitafika mtasema hatukumaanisha hivyo.
 
gazeti linalomilikiwa na cdm kwa mara nyingine tena toleo la leo jumapili lina taarifa yenye mwelekeo dhahiri wa kuwabeba mapacha watatu.ni aibu kwa chama kinachojipambanua kupinga ufisadi wakati huo huo kinatumika kuwatetea wanaotuhumiwa kujihusha na ufisadi.ningependa kunukuu baadhi ya vifungu kama ifuatavyo: Lowassa, rostam ,waandaliwa 'zengwe'

chadema wanamiliki vyombo vya habari tangu lini mkuu??
 
Back
Top Bottom