Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,211
- 113,500
Kuhusu ushauri wa magwanda, kwa kawaida Rais Mtarajiwa, Dakta Slaa, huwa hayavai. Ila kwenye ile picha ya kikao kilichomchagua agombee nimeona kama ameyavaa vile. Nakubaliana na Mwanakijiji kuwa inabidi sasa aanze kuvaa kama Rais, kuongea kama Rais, kutembea kama Rais, na kuongoza kama Rais. Akiweza kutumia mbinu hii hakika ataishangaza Tanzania kama Obama alivyoishangaza Marekani. Je, atafanya hivyo?
Wewe don't get ahead of yourself here....coz CCM's victory is a foregone conclusion. It's sad but it's true.....