Cha mtu kitamuuu

Kutokujiamini tu, na kutaka sifa za "wewe ni mzuri kuliko mke/mume wangu" mara hivi mara vile, wanajikuta wanajaza vichwa na sifa za kijinga .jitafutieni wa kwenu na maisha utayaona matamu, yaani hakuna raha kama kummiliki mpenzi wako, sio kila siku wewe unakuwa 2nd hand tu, huchoki?
 
Loo. Jamani. Mimi pia nina tatizo la kupenda saana wake za watu hasa wale ambao wamezaa watoto kama 2 hivi yaani unakuta ndo kapendeza ile mbaya na ukimfungua Babake, yaani kalainika ile mbaya kuliko mabindi. Na vile vile wanakuwa na nguvu ya kumudu mapigo kuliko mabinti wa kisasa, gori 2 tayari anaannza kusema mara kachelewa waoi oh mara tumbo limekuwaje.... Hahahah
 
Back
Top Bottom