Cha msingi watanzania tuwe makini kwenye maoni ya katiba

MKIMBA

New Member
Jul 17, 2012
1
0
MFANO.mtumishi wa umma kuwa na vyeo zaidi ya kimoja kulipwa na hazina wakati wengine wanataabika mjini tulikemee kwa nguvu zetu zote haya ndio mapungufu makubwa kwenye katiba iliyopo.
 
Wajameni tuliongee hili kwenye mchakato wa katiba!
Mathalani mbunge-asiwe mkuu wa mkoa au wilaya
spika wa bunge asiwe na chama
etc
 
Back
Top Bottom