Unazikabili vipi changamoto za choo cha kukaa?

Mtazamaji

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
5,937
1,437
Hivi ni choo gani bora kati ya vile vya kukaa na kuchuchumaa?

Binafsi naona vya kuchuchumaa ni bora na kiasi fulani ni hygenic hasa kwa mazingira ya sehemu za jamii kama mashule,vyuo,ofisi na hata familia zenye watu wengi.

Je kuna sababu yeyote ya watu kupendezewa zaidi kuweka vyoo vya kukaa?

Nawasilisha kwa mjadala.

e561084e9220383c7204eb40f9bc13f1_XL.jpg
 
Cha kukaa ndiyo kizuri kwa wanaume na wanawake. Cha kukaa unaweza kuchuchumaa kama unataka.
Nilipokuwa chuo nilikuwa napenda vya kuchuchumaa kwa sababu ya usafi na matumizi ya watu wengi lakini pia wakati huo kitambi kilikuwa kidogo, siku hizi natumia choo changu na mke wangu tu na pia likitambi limekuwa kubwa choo cha kuchuchumaa ni zaidi ya dhabu.
 
Choo
Hivi ni choo gani bora kati ya vile vya kukaa na kuchuchumaa?

Binafsi naona vya kuchuchumaa ni bora na kiasi fulani ni hygenic hasa kwa mazingira ya sehemu za jamii kama mashule,vyuo,ofisi na hata familia zenye watu wengi.

je kuna sababu yeyote ya watu kupendezewa zaidi kuweka vyoo vya kukaa?

Nawasilisha kwa mjadala.

Kwa ajili ya afya vya kuchuchuma ni vizuri zaidi,utafiti uliofanyika Marekani(kukaa) na vijijini China na Japan(kuchuchumaa) imeonyesha watu wanaotumia kuchuchumaa hawasumbuliwi na matatizo ya colon cancer(haja kubwa) na matatizo ya kibofu(haja ndogo) kwakuwa kuna msukumo mkubwa ukichuchuma na uwezekano wa uchafu wote kutoka ni mkubwa.
 
Cha kukaa ndiyo kizuri kwa wanaume na wanawake. Cha kukaa unaweza kuchuchumaa kama unataka.

Naomba kueleweshwa zaidi katika hili.
Kuna type ya vyoo vya kukaa ambavyo pia unaweza ukachuchumaa?Naomba nipe details zaidi mkuu vinapatikana wapi, nadhani vinafaa zaidi.:lol:
 
Hii thread imenistua kidogo!

Cha KUKAA na Cha KUCHUCHUMAA!

Sijui imekushtuaje. Ila na mm nkuna kitu nilihisi baada ya kupost heading. nikajua watu wazima tuna mambo mengi ya kuchumaa na kukaaa hahahhaha
 
Nilipokuwa chuo nilikuwa napenda vya kuchuchumaa kwa sababu ya usafi na matumizi ya watu wengi lakini pia wakati huo kitambi kilikuwa kidogo, siku hizi natumia choo changu na mke wangu tu na pia likitambi limekuwa kubwa choo cha kuchuchumaa ni zaidi ya dhabu.
Umenichekesha kwenye kitambi mkubwa. kipe zoezi la kuchuchumaa
mi naona zaidi ya hygenic kuchuchumaa pia ni mazoezi ya kuimarisha na kushtua baada ya viongo.
 
Choo cha kuchuchumaa kinasababisha strain kwenye uti wa mgongo; kinaweza kukusabishia stroke!!

sasa mazoezi ya kichura chura nayo vipi?.uti wa mgongo lazima unyooshwe na kushtuliwa japo kwa dk chache kila siku.But any way ni mawazo tu
 
cha kuinama ndio bora maana kitu mpaka ndani.:becky::becky::becky::becky:
 
Binafsi kama choo kinatumiwa na jumuiya fulani, e.g vyoo vya stand au vile vya kulipia, vya mashuleni etc, ni bora kuwa na cha kuchuchumaa, lakini kama ni matumizi ya nyumbani na watu wachache, naona hata cha kukaa poa tu.
 
Choo
Hivi ni choo gani bora kati ya vile vya kukaa na kuchuchumaa?

Binafsi naona vya kuchuchumaa ni bora na kiasi fulani ni hygenic hasa kwa mazingira ya sehemu za jamii kama mashule,vyuo,ofisi na hata familia zenye watu wengi.

je kuna sababu yeyote ya watu kupendezewa zaidi kuweka vyoo vya kukaa?

Nawasilisha kwa mjadala.
Hehehe we mtu una mambo wewe
Hii thread imenistua kidogo!

Cha KUKAA na Cha KUCHUCHUMAA!
...hata mie nimestuka maana kuna mshkaji wangu mmoja alikuwa safarini juzi mitaa ya kaskazini akasimamisha msafara kwenda kuchimba dawa.
sasa Mtazamaji anatafuta........
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom