Cha kuazima hakisitiri cha kununuliwa je ?

uporoto01

JF-Expert Member
May 23, 2008
4,700
1,415
Wazee wetu walisema cha kuazima hakistiri mwili na sasa imejulikana cha kununuliwa pia hakisitiri mwili na inaweza kukuletea fedheha au kushusha hadhi yako mbele ya jamii.
Tuache kupenda kupendeza saaana na uhaendisamu boy.

bandugu mna maoni gani kuhusu hii kashfa ya Suti ilyopachikwa jina la 'SUITGATE' hahaha!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom