Cha Arusha kwa pochi yake!!!..

ha ha ha, kivute wewe, ameona mwanamme gani hapigi hicho akaona akuletee.

Seriously, huwa ni dawa ya magonjwa fulani ya akina mama.
 
Kwani shem anatumia hayo mambo?Km no bas ni cha mume mwenzio alimpa amshikie bt alisahau kukichukua'
 
We unamoka???
Kwenye pochi ya mkeo unataka nini bana......huo ni mwiko mkubwa sana
Roll...light....smoke buy a pack of rizzla n a match box ; replace and mute


Never ever undermine your partner fellaz...................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
ukiendlea hvyo na siku nyingine utakuta k-y gell!:A S kiss:


duuuuh!! hiyo k-y gelly kwaajilii ya kulainishia mambo fulani nini?. Jamaa si atazimia kabisa maana kutakuwa na raia wema ambao wanamsaidia kumpaka hiyo k-y gelly gf wake lo!!
 
.


ni hiki hapa!
url


na kingine ni hiki hapa!
url



haya ... Endelea kuchangia!


.




kumbe ndio hiyo kitu!
 
sasa si ungeniuliza mimi mwenyewe

unawaletea watu matatizo ya kujitakia wakusaidieje??
 
Back
Top Bottom