Cha Arusha kwa pochi yake!!!..

evvy

Senior Member
Jul 20, 2011
153
25
Wapendwa katika pilika za kutafuta pen kwa room yangu..nikaamua kufungua pochi ya shemeji/wifi yenu...tobaa nimekutana na cha Arusha!!!...nimedata nisaidieni....
 
Kionje kama ndo chenyewe,we nani kakwambia kuchungulia mikoba ya kina mama?kuna siku utakutana na kondomu au pad zilizotumika.
 
sasa cha ajabu nini....toa pen endelea na 50 zako....halafu usizoee sana kuingia kwenye pochi za kina dada.....

Shikamoo dada mzuri, nasikia vipochi vinakuwa na mambo rukuki ndio maana hampendi tuviguse.
 
kinaitwa cha meru bhana kwan pale arusha kinalimwa na machalii wa meru chini ya mlima
 
Wapendwa katika pilika za kutafuta pen kwa room yangu..nikaamua kufungua pochi ya shemeji/wifi yenu...tobaa nimekutana na cha Arusha!!!...nimedata nisaidieni....

ukiendlea hvyo na siku nyingine utakuta k-y gell!:A S kiss:
 
Ni kinini hicho cha Arusha

.


Ni hiki hapa!
url


Na kingine ni hiki hapa!
url



Haya ... endelea kuchangia!


.



 
ulijuaje kama ni cha arusha? Kama ni cha tarime je? Ila chukua peni endelea na shughuli zako
 
Tena ukimzingua anavuta then anakuweka sawa lol lazma ujute kumfahamu..
 
Usiwe na wasiwasi sana, sio yeye anakitumia ila ni aliyekuwa anammega so walikurupuka akakiweka huko bahati mbaya!
 
Back
Top Bottom