Certeficate of form six leavers 2015

moudy_b6

Member
Aug 3, 2015
81
4
Wakuu kwa aliepata taarifa kuhusiana na hii taarifa kuwa vyeti vya wanafunz wa form six waliomaliza mwaka 2015 kutopewa km baraza la mitihan lilivyo agiza kwa hofu ya GPA...hii taarifa niliona juu juu tu kwenye social media..cjaipata in detail...kwa aliesikia na alieipatia ufafanuz hii taarifa naomba anijuze......Nawasilisha.
 
What I know baraza liliandika barua kwa shule zote vyeti virudishwe baraza la mitihanj na waliochukua wameambiwa wavirudishe... as wanavibadili kutoka mfumo wa GPA kwenda division. Na zoezi lilishaanza tangu early Feb
 
Kiukweli vyeti hivi havina ubora kabisa....vina mapungufu mengi.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom