Cerebral Palsy (Mtindio)

kande kavu

JF-Expert Member
Sep 17, 2011
234
86
Wataalamu/wazoefu naombeni msaada wenu.

Kijana wangu wa miaka mitano aliugua Malaria akiwa na mwezi mmoja, na kwa bahati mbaya hatukuicontrol vizuri (Wazazi & madaktari) hivyo ikawa severe ikapelekea dege dege na kuharibu sehemu ya brain yake.

Tangu tulipogundua shida yake (miezi sita), amekuwa akifanyiwa physiotherapy (mama cheza) lakini naweza sema maendeleo ni kidogo sana. Kwa siku za karibuni amekuwa akisumbuliwa sana na convulsions na tumeonana na madaktari kadhaa lakini sijapata dawa ya kumsaidia. Kwa sasa pamoja na mazoezi anatumia Fenebabutoni .

Wana JF naomba mwenye kujua kitu hapo anisaidie nimpunguzie maumivu kijana wangu. Asanteni.
 
Subiri Dr Riwa na wengne watakusaidia mkuu,pole sana na Mungu atakusaidieni
 
Back
Top Bottom