AshaDii
Platinum Member
- Apr 16, 2011
- 16,190
- 18,078
mimi wanachoniboa hawa watoto ni kuwa wakiongea kiswahili ndo utasema hawajui kiswahili
wanajua kingereza...ishu sasa wakutana na asiejua kiswahili,english fluent
ndo unashangaa khaaa....sasa ile ilikuwa nini?
Ni Ushamba mkubwa saaana... Raha kuongea Kiswahili Fluently... yaani
itokee kua kama unatumia Kiingereza uwe na watu wa level yako moja...
yaani woote fluent.. lakini sio haki uko katikati ya jamii isojua kiingereza
na unaongea Kiingereza... it is not right... and not fair...