The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,110
- 115,871
- Thread starter
- #21
Sawa AD nimekupata.
Lakini najiuliza kitu kimaoja. Kuna wabongo wengi sana ambao walisomea nje ya nchi na kuishi na kufanya kazi huko esp US/UK na eventually miaka ya karibuni wengi tu walirudi bongo huku wakiwa very fluent in English, highly skilled and talented in array of professions like finance, banking, IT, accounting, consulting etc Na hili ni kundi la wabongo ambao ni wachapa kazi na hawana uswahili ni kazi mtindo mmoja. Sasa hili kundi unataka kuniambia halija-break through the system kuwareplace hawa wageni?
mkuu huwezi amini
wabongo uaminifu tuko nyuma saana
kenya kwa kuwa ubepari umeanza zamani,vitu kama commissions,hisa na profit percentage
viko saana,so mtu hana sababu ya kuiba,the more you work,the bigger the comissions..or profit percentage n,k
sisi watu walisoma but system ya kijamaa ilikuwa in place
njia ya kuongeza kipato ikawa thru wizi....
kusoma nje kwani dili,mtazame andrew chenge,harvad ile but iko wapi?