CEO wa DAWASCO, Kimara nzima haina maji watu wanauziwa dumu 1000

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,462
21,334
Inashangaza kuona tunapoelekea

CEO msaada wako wa haraka kuna miradi ya watu kuuza maji. Leo hii wiki ya pili akuna msemaji watu hawana maji.

Wenye uwezo wameanza leta madumu wanauza 1000,familia ya watu watano wanatumia elfu tano kwa siku? Mnatupeleka wapi wengine.

Msaada wako please hata kama wameanza miradi yao ya kuuza maji tunaomba wasimamishe wasubiri mwezi ujao, jamani huku mwendokasi huku uweke maelf ya maji.
 
Yaani DAWASCO ni tambazi,wanatuhujumu wananchi.Haiwezekani mwezi mzima maji hayatoki na watu wapo kilasiku eti wanaenda ofisini.
Yaani DAWASCO hawafai,hawafai,hawafai wabadilishwe waje watu wenye mbinu mbadala
 
Na ni juzi juzi tu apa kipindi cha kipima joto ITV walisema mama atatua ndoo.Huku ndo kutua, sio kimara hata mbezi hali ni hiyo hiyo.
 
Kila siku wanasoma meter za maji, sijui wanasoma kitu gani wakati maji hayatoki...
 
Ni washenzi sana hawa jamaa hivi unaendaje kuchuku ujira ujafanya kazi???

Rais magufuri ebu tutumbulie huyu manager wa dawasco na vinyamkera wake kazi kutusumbua kwenye mageti kusoma metre huku maji hakuna...! Mpyuuu poor dawasco...
 
Inashangaza kuona tunapoelekea

CEO msaada wako wa haraka kuna miradi ya watu kuuza maji. Leo hii wiki ya pili akuna msemaji watu hawana maji.

Wenye uwezo wameanza leta madumu wanauza 1000,familia ya watu watano wanatumia elfu tano kwa siku? Mnatupeleka wapi wengine.

Msaada wako please hata kama wameanza miradi yao ya kuuza maji tunaomba wasimamishe wasubiri mwezi ujao, jamani huku mwendokasi huku uweke maelf ya maji.
Mbunge wenu nani
 
Mwambieni magu atoe pesa maji mpewe mkurugenzi hawezi kutoa mfukoni mwake msiogope kumwambia tatizo serikali haitoi pesa ya kusukuma maji kule mlimani flow ya kawaida haiwezekani
 
maji tuu yanasumbua kutoa mto ruvu mpaka hapo utasikia tunataka kuzalisha umeme wa nyuklia...bongo bwana vituko haviishi..
 
Sio uko mpaka ubungo akuna maji pia. Maji ayajatoka wiki ya 2. Duh hatari Sana. Wauza maji Wana roho ngumu sana. Maana wanaona akuna maji basi wanapita wanatangaza na kipaza sauti kwamba wanauza maji. Kweli kufa kufaana
 
Inashangaza kuona tunapoelekea

CEO msaada wako wa haraka kuna miradi ya watu kuuza maji. Leo hii wiki ya pili akuna msemaji watu hawana maji.

Wenye uwezo wameanza leta madumu wanauza 1000,familia ya watu watano wanatumia elfu tano kwa siku? Mnatupeleka wapi wengine.

Msaada wako please hata kama wameanza miradi yao ya kuuza maji tunaomba wasimamishe wasubiri mwezi ujao, jamani huku mwendokasi huku uweke maelf ya maji.

Maji na kitengo cha dharura Tanesco ni majanga kwa watu wa kimara
 
Sio uko mpaka ubungo akuna maji pia. Maji ayajatoka wiki ya 2. Duh hatari Sana. Wauza maji Wana roho ngumu sana. Maana wanaona akuna maji basi wanapita wanatangaza na kipaza sauti kwamba wanauza maji. Kweli kufa kufaana
Umieni hivyo hivyo.Mabadiliko-Kubenea,Kubenea-mabadiliko.Zungusheni mikono juu maji yaje!
 
Inashangaza kuona tunapoelekea

CEO msaada wako wa haraka kuna miradi ya watu kuuza maji. Leo hii wiki ya pili akuna msemaji watu hawana maji.

Wenye uwezo wameanza leta madumu wanauza 1000,familia ya watu watano wanatumia elfu tano kwa siku? Mnatupeleka wapi wengine.

Msaada wako please hata kama wameanza miradi yao ya kuuza maji tunaomba wasimamishe wasubiri mwezi ujao, jamani huku mwendokasi huku uweke maelf ya maji.
Mbunge wenu anaendelea kula bata tu.Acheni kulalamika ndio kubenea huyo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom