Central Processing Unit (CPU)

Papa Mopao

JF-Expert Member
Oct 7, 2009
4,107
2,506
Laptop yangu, CPU imekufa haifanyi kazi kabisa, ukiwasha ile power light inablink mara kwa mara tena kasi na hakuna chochote kinachoonekana kwenye screen (monitor), hv kuna uwezekano wa kununua CPU nyingine na ukapachika kwenye laptop au?
 
Eish! Ni laptop aina gani? Beleave me, its more logical to buy a new laptop!
 
Compaq, to buy new laptop ndugu labda laptop ife kabsaaa yaani hamna namna yoyote ya kuifufua hapo sawa, lkn kwa hili laptop namna ya kufix problem ipo! I believe that!
 
Laptop yangu, CPU imekufa haifanyi kazi kabisa, ukiwasha ile power light inablink mara kwa mara tena kasi na hakuna chochote kinachoonekana kwenye screen (monitor), hv kuna uwezekano wa kununua CPU nyingine na ukapachika kwenye laptop au?
Inawezekana ikawa sio cpu ikawa harddisk au ram zimekufa angalia hivyovitu vizuri kabla ya kucheki cpu.
 
Nilichek vyote hivyo vinafanya kazi,nilijaribishia kwingine! Problem ni kwamba, feni haizunguki unapowasha laptop, kwa kawaida ukiwasha laptop feni inazungukaaa then inatulia, sasa kwa laptop yangu hii hiyo haipo!
 
Mkbwa the isuue it may b POWER SUPPLY. Bcoz it is the one control the fan to rotate. If the electricity not supplied to the fan how can rotate, please check for power supply.
 
Kama feni haizunguki, ina maana imekufa. Nenda wakakuwekee feni mpya. Pana wakati PC yangu feni yake ilikufa na mchezo ukawa ni huohuo. Tatizo ni kuwa ukiwasha tu Computer, CPU inaanza kutengeneza joto moja kali sana na kuchemka si kawaida na hapohapo computer inazimwa ili kuiokkowa CPU. Nilipoweka feni mpya, inadunda hadi leo hii.
 
Back
Top Bottom