Central Police - Mbeya inawaka moto

Kama ni kweli basi huu moto wa Mbeya ni zaidi ya moto,

Labda unawashwa na CHADEMA????
 
Mbona matatizo ya moto Mbeya hayaishi? Tujuze chanzo cha huo moto mkuu

Marehemu Pepe Kalle aliimba Kinshasa moto, Dar es Salaam moto, Arusha moto.......
Hakujua kuwa Mbeya ni makao makuu ya moto. Hebu kumbukeni moto wa Idweli uliunguza kijiji kizima walikufa kwa moto walipokuwa wanaiba mafuta
 
Habari nilizozinasa hivi punde zinasema kituo cha polisi kikuu cha Mbeya kinawaka moto.

UPDATES
Nimeweza kuwasiliana na kamanda wangu Mh. Mbilinyi (Mb) na amethibitisha kutokea ajali ya moto kwenye makazi ya polisi yaliyopo katika kituo kikuu cha polisi.

Mbona mnatuchanganya ni kituo cha polisi au ni nyumba za polisi nikimaanisha makazi ya polisi
 
Wenye details jamani, maana wengine wanadai eti ni uongo sa sijui hata media zetu siku hz zinaongopa au vp?
 
Kama ni kweli basi huu moto wa Mbeya ni zaidi ya moto,

Labda unawashwa na CHADEMA????

kwani ule wa mwanjelwa sokoni chadema walishika jimbo hilo? Walikuwa hawana hata diwan by that tm. Kuna uzembe unaendelea
 
Back
Top Bottom