Cement kutoka 13500 hadi 14500

Mamzalendo

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
1,670
558
Jamani kuna ujenzi nikuwa nafanya nimezoea kununua cement mfuko mmoja 13500 na mara ya mwisho nimenunua juzi leo nimeambiwa hapo hapo kwenye ilo duka 14500 nikasema shida nini jamani mbona ongezeko kubwa,akajbu ndio gharama za kiwanda zimepanda kisa mgao,jamani tuna serikali au hatuna?haya madhara ya propaganda zao wanayaona au hawaoni kwa kweli imeniuma kila kitu juu sa hivi,tunafaidika nini na hii serikali iliyopo madarakani sukari nanunua 2000 wakati serikali ilisema 1700 kisa viwandani,jamani tunaichukulia hatua gani hii serikali?
 
Nitaendelea kuwa mapangaji wa kudumu! Kama siwezi kufisadi nitajenga kweli?
 
Hapa nimekaa tu umeme hakuna hyo gharama iliyopanda katika kila kitu nategemewa niipataje jamani?
 
Nitaendelea kuwa mapangaji wa kudumu! Kama siwezi kufisadi nitajenga kweli?
kweli hujengi hapa nimetoka kupokea simu ya mtu anayeniuzia matofali ananiambia c unajua cement imepanda nikamwambia ndio na tofali pia bei imepanda nikamwambia sawa mi naona nistop hapa nilipo kabla cjafungwa na madeni kweli Mungu aione hii serikali,kila kukicha afadhali jana du,
 
Mamzalendo wapi uko ulikopewa bei iyo na ni cement gani twiga,simba au tembo kuwa specific waweza pata msaasa
 
Jamani kuna ujenzi nikuwa nafanya nimezoea kununua cement mfuko mmoja 13500 na mara ya mwisho nimenunua juzi leo nimeambiwa hapo hapo kwenye ilo duka 14500 nikasema shida nini jamani mbona ongezeko kubwa,akajbu ndio gharama za kiwanda zimepanda kisa mgao,jamani tuna serikali au hatuna?haya madhara ya propaganda zao wanayaona au hawaoni kwa kweli imeniuma kila kitu juu sa hivi,tunafaidika nini na hii serikali iliyopo madarakani sukari nanunua 2000 wakati serikali ilisema 1700 kisa viwandani,jamani tunaichukulia hatua gani hii serikali?

Si tuliokuwa tunanunua cement Tsh. 15,000/= sijui itakuwa shilingi ngapi kwa sasa?
 
Jamani kuna ujenzi nikuwa nafanya nimezoea kununua cement mfuko mmoja 13500 na mara ya mwisho nimenunua juzi leo nimeambiwa hapo hapo kwenye ilo duka 14500 nikasema shida nini jamani mbona ongezeko kubwa,akajbu ndio gharama za kiwanda zimepanda kisa mgao,jamani tuna serikali au hatuna?haya madhara ya propaganda zao wanayaona au hawaoni kwa kweli imeniuma kila kitu juu sa hivi,tunafaidika nini na hii serikali iliyopo madarakani sukari nanunua 2000 wakati serikali ilisema 1700 kisa viwandani,jamani tunaichukulia hatua gani hii serikali?

Napumzika Bilila Lodge Serengeti baada ya kazi ngumu za Ujenzi wa Taifa
 
Nyie mko mkoa gani hapa bongo.Mimi nilipo nje ya dar nimenunua leo Cement simba ni 20,000 na Bati bd moja la futi 10/30g ni 255,000 .

Misumari kilo moja ni 3500-4000 kwa kilo
 
Eeeeh!?? mbona wantisha!
 
cement ya nje ni imara na bei rahisi inapatikana kwa murzah oil-zakaria.vitu vya ndani ghali kuliko vya nje maajabu sana
 
Bei yaweza kuwa rahisi lakini uimara my friend....hamna kitu. hasa zinazotoka china na pakistan hamna kitu mkuu.
 
Nyie mko mkoa gani hapa bongo.Mimi nilipo nje ya dar nimenunua leo Cement simba ni 20,000 na Bati bd moja la futi 10/30g ni 255,000 .

Misumari kilo moja ni 3500-4000 kwa kilo

hii niliyonayo nalalamika ikifika 20000 si nitapagawa loh?uko wapi wewe?
 
Sasa Bamburi ya Kenya ndio wakati wake........Tanzania wangu unakufa nikikuona
 
Du ni hatari wazee kumbe, ndio maana wenye nyumba wanakuwa wakali na nyumba zao. Ila kuna maeneo mengine kama Kigoma mfuko wa cement 50Kg kabla ya mfumuko ilikuwa inasoma TZS. 18,000/= per bag kwa sasa sijui itakuwa ngapi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom