CELEBRITY huyu hapa JF kajivua gamba!! ........

ENZO

JF-Expert Member
Sep 30, 2010
4,242
1,736
celebrity mimi nimeamua kuchukua maamuzi magumu ya kubadilisha ID!! kutokana na sababu ya kuombwa kubadilisha kila kukicha!! na wengi hapa JF wanaopenda michango yangu ya kujenga na kuelimisha, ........naomba pongezi zenu kwa kuchukua maamuzi magumu. naomba JK nae achukue kama changamoto ya kufanya maamuzi magumu ya kuachia ngazi pale magogoni.
ni mimi celebrity wenu niliekua popobawa.
MAPROSOO.
 
Kwahiyo wewe mwanzo ulikuwa Cheje aka Popobawa na sasa hivi ni Maprosoo...am I correct??
 
Umefanya la mbolea ! Umewaza/umefikiri out of the pitch ! Sometimys nilikua najisikia kama naogopa ku'share nawe comment, hassusan nyakati za usiku.
 
hahaaa kweli huo mjina wako wa Popobawa na Avatar yake zilikua zinatisha
 
Hahaha maprosoo linapendeza zaidi.... ila limekaa kifataki... Haya wakaka mnaweza kulala bila jeans tatu now...popobawa is gone.
 
:poaUamuzi wa busara. Kilichobakia tuu sasa hiyo avatar nayo ubadilishe:A S-coffee:
 
ooh, mbona mimi nilikuwa naizimikia popobawa? Muuzie nitonye awe anaitumia..

Hongera kwa maamuzi magumu!
 
Umefanya la mbolea ! Umewaza/umefikiri out of the pitch ! Sometimys nilikua najisikia kama naogopa ku'share nawe comment, hassusan nyakati za usiku.

Shkamoo judgement. sahivi ruksa kulala na boxer.
MAPROSOO.
 
Kwahiyo wewe mwanzo ulikuwa Cheje aka Popobawa na sasa hivi ni Maprosoo...am I correct??

very good! excellent! umapatia katabia hako ka upopo nimekaacha.
MAPROSOO.
 
Back
Top Bottom