Cecafa ndio wachawi wa soka la tanzania/wanaua soka letu, sasa tukatae

KengeWaKijani

Senior Member
Jun 28, 2012
103
16
CECAFA MNAZIPONZA TEAM
ZA TANZANIA
Kagame Imekshwa na Hongera
watani YANGA Kwa kuutea
ubingwa wako
Lakini kama wapenda soka
mstakabali wa timu zetu niupi?
*Kwa utaratbu huu wa CECAFA
michuano kufanyikia kwetu kila
mwaka tmu zetu za Tz
zmekuwa zktwaa ubingwa kwa
sapoti ya Mashabiki na c kwa
kiwango au uwezo,
na znajkuta katka wakat
mgumu znapokwenda
kutuwaklsha nje CAF/CONF
Mfano; Bingwa wa CECAFA Wa
last year Yanga waltoka kutwaa
ubingwa wakaenda kutia aibu
Klabu Bingwa Afrka, waltolewa
mapema kabisa katka round ya
mtoano.
*Tatzo ni hili, wahenga
walsema "MTU KWAO" Team
zetu znabweteka na znajitia
ujinga, kwani MTU KWAO NDIO
SILAHA yao kubwa, ndo maana
zmekuwa zkfanya vzuri Hapa
Dar es Salaam ila zkienda
kucheza nje huenda
kichwakchwa wakijua nayo
Kigame.
Mfano wa pili; Simba mwaka
jana Conf. Cup alfanya vzuri
Dar mbele ya Mashabiki
wake,akashnda goli 3 kama
cjasahau, wote Tukajua Simba
amefuzu kwenda next level,
*Aibu kubwa alpoenda Sudan
alichakazwa kama MBWA
MWIZI tena na kijitmu kdogo.
*Matatzo hayahaya yanaitafuna
hdi team ya taifa, Wachezaji
wetu hawajapewa uwezo wa
kucheza ugenin mbele ya
mamia ya mashabiki wa tmu
pinzani wao wanajua kucheza
kwao tu.
Mfano: Yanga asingeifunga
APR Kama ile game
ingechezewa Kampala, au au
katka neutral ground yoyote
Either Nairobi au hata Arusha
pale asngefurukuta hata kdogo
CECAFA WANATUHARIBIA
TIMU ZETU...Wameznyma
fursa ya kucheza away, Kila
mwaka Dar es Slaam.
Tunataka Iwe inazunguka Kote
*Pia wameigeuza CECAFA
kuwa biashara, Tanzania kuna
wapenda soka wengi, ndo
tumegeuzwa Soko.Pelekeni na
Kampala.
Pia
*Timu zetu znabebwa ili zfke
fainal wakusanye mamilion
*Tim ngeni znateswa kucheza
mech nyngi juani saa 8 mchana
na wenyej saa 10 eti kusubiri
watu watoke makazini
wakaingie.
*Halafu TZ timu 4?
 

Attachments

  • images_6.jpeg
    images_6.jpeg
    4.2 KB · Views: 223
WADAU SAMAHANI KWA KUCHANGANYA MAJUKWA KWA WALIOSOMA UDSM TULIKUWA TUNAITA "KUMIX MADESA" Najua nilitakiwa niweke kwenye Sport forum, lakin I have tried my level best nimeshndwa forum in inopenable by my mobile.

Sory i feel sory 4 those who are not interested with soccer.
Karbu.
 
Dah, umechambua vizuri sana, ile nimepishana na wewe pale ulippsema kuwa CECAFA wanaua soka letu, isipokua ungesema kuwa tunahitaji changamoto zaidi kwa waandaaji kupeleka mashindano haya nchi mbalimnali za wanachama wake. Ila kimaslai inaonekana Tanzania ndio inalipa kidogo kwa kuwa na washabiki wengi kuliko Nchi zingine wanachama, ila pole sana najua tatizo ni Yanga kuwa Bingwa.
 
Azam na simba nan mwenye mashabiki wengi?ukijua hilo ndo utajua mashabiki sio kigezo kikubwa cha ushindi
 
Kwa hiyo ramli uliyopiga imekuonyesha kuwa Yanga wasingeifunga APR kwenye neutral ground? Kajifunze soka kwanza ndo uje tena.
 
Back
Top Bottom